المدة الزمنية 13:29

Walioashambuliwa na vikosi vya SMZ Pemba watoa kauli nzito. Haturudi nyuma

بواسطة Weyani Tv
148 332 مشاهدة
0
528
تم نشره في 2020/09/26

Hawa ni miongoni mwa viongozi na wanachama wa chama cha ACT Wazalendo kisiwani Pemba, ambao kwa siku za hivi karibuni wamekuwa wakivamiwa majumbani mwao nyakati za usiku na watu wanaosema ni vikosi vya SMZ ambao huwapiga, kuwatesa, kuwadhalilisha na familia zao pamoja na kuwaibia mali zao mbele ya macho ya jeshi la polisi. Hii hapa ni kauli yao.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 681