المدة الزمنية 17:51

LIVE​: GLOBAL HABARI MACHI 26 - HATIMAYE MAGUFULI AZIKWA, RAIS SAMIA AONGOZA MAZISHI YAKE CHATO..

بواسطة Global TV Online
3 812 مشاهدة
0
11
تم نشره في 2021/03/26

🔴#LIVE​: GLOBAL HABARI MACHI 26 - HATIMAYE MAGUFULI AZIKWA, RAIS SAMIA AONGOZA MAZISHI YAKE CHATO.. Hatimae leo March 26, 2021 Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya Hayati Dk.John Pombe Magufuli katika makaburi ya familia Chato Mkoani Geita ambapo amesema….. Akihutubia kabla ya kumpumzisha Dk.John Pombe Magufuli katika Viwanja vya Magufuli Wilayani Chato Mkoani Geita Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu amesema…….. Naye Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi amesema… Awali kulitanguliwa na ibada ya Misa takatifu ya kumuombea Hayati Dkt. Magufuli na hivi ndivyo ilivyokuwa Na hatimaye mwili wa Hayati Dk.John Magufuli ukapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele katika makaburi ya familia na hivi ndivyo ilivyokuwa Dkt. John Pombe Magufuli amefariki Dunia March 17 mwaka huu katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu kutokana na maradhi ya moyo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0