المدة الزمنية 13:24

JE HILI NDIO TATIZO LA SHULE ZETU

1 724 مشاهدة
0
62
تم نشره في 2021/05/21

Ni swali ambalo bila shaka limekuwa kwenye vichwa vya watu kwa muda mrefu sana kuhusiana na nini tatizo la shule zetu au utaratibu wa elimu utolewao kwetu. kwanini wanaokuwa wasomi ndio wanakuwa na maisha yenye ugumu sana katika kutengeneza kipato ukilinganisha na wasio na elimu au elimu kubwa wanaofanya biashara..!! . Kwanini wamiliki wengi wa biashara kubwa zenye mafanikio si wenye shuke kubwa na wale wenye shule kubwa wanaishia kuwa wafanyakazi wa wale ambao hawajaenda shule? . Kwanini shule hazifundishi utaratibu wowote kuhusu pesa, ikiwa pesa ndio inaendesha watu kila siku inapoanza mpaka kuisha na ndio namna ya kuendesha maisha? . Kama una mawazo au mchango wowote tafadhali niandikie hapa chini kwenye description wakati nikiungana na ndugu Mathias ambaye yeye ni mshauri wa vijana. . GROUP LANGU LA VITABU (WHATSAPP): (SPN BOOK CLUB): Karibu ujiunge ikiwa wewe: - Unapenda kupata faida toka kwenye vitabu - Ni mvivu kusoma na ungependelea kusikiliza (Audio) zaidi. - Unataka kufahamu/ kupata vitabu vizuri vya mafanikio. Utapata AUDIO CLIPS kwenye simu yako zilizosomwa kwa ufasaha na hazichoshi kusikiliza. Ili kujiunga tuma ujumbe "whatsapp" andika: SPN BOOK CLUB kwenda namba 0759191076 . ADA NI SHILINGI 2,000/= TU KWA WIKI . SUBSCRIBE - COMMENTS - LIKE - SHARE . UNGANA NAMI MITANDAONI: INSTAGRAM (SPN): https://www.instagram.com/successpath ... INSTAGRAM : https://www.instagram.com/ezdenjumanne FACEBOOK : https://www.facebook.com/ezdenjumanne TWITTER : https://www.twitter.com/ezdenjumanne LINKEDIN : https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne YOUTUBE : /ezdenjumanne . BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU: EMAIL: successpathnetwork@gmail.com WHATSAPP : (+255)759191076 . SUBSCRIBE CHANNEL YA HAMASA YA LEO HAPA: /hamasayaleo . . #Success #Path #Network

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 16