المدة الزمنية 6:59

KUMBE MZEE KINGUNGE ALIKUWA NA KIPAJI HIKI

بواسطة Global TV Online
68 437 مشاهدة
0
100
تم نشره في 2018/02/02

KUMBE MZEE KINGUNGE ALIKUWA NA KIPAJI HIKI! Licha ya kuwa mwanasiasa mkongwe na maarufu mpaka kuitumikia serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, marehemu Kingunge Ngombale Mwiru, aliwahi kuwa mwanasoka mzuri alichezea timu mbalimbali Nchini Senegal. Ambako alikuwa anasoma, hata hivyo kingunge alikuwa shabiki wa Klabu ya Yanga. Pia marehemu Kingunge aliwahi kuwa Mtanzania wa kwanza kuzungumza Lugha ya kifaransa na hata kutafsiri. Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 14