المدة الزمنية 2:36

IMEISHA HIYO ANGALIA ULIPOFIKA UJENZI WA HOSPITALI YA RAIS MAGUFULI CHAMWINO DODOMA -UHURU HOSPITAL

بواسطة HABARI PLUS TV
9 136 مشاهدة
0
46
تم نشره في 2020/08/18

Baada ya Rais Magufuli kuelekeza Shilingi Milioni 995 zilizotakiwa kugharamia sherehe za Uhuru mwaka 2018 kujenga hospital ya kisasa na baadae kuweka jiwe la msingi, ujenzi wa hospitali hiyo sasa imefikia pazuri. Akikakua ujenzi wa hospital hiyo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo maeridhishwa na kasi ya ujenzi wa hospitali hiyo inayojengwa katika wilaya ya chamwino mkoani Dodoma.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 5