المدة الزمنية 5:14

Bony Mwaitege - Hallelujah (Official Music Video) SMS TO SKIZA TO 811

2 393 986 مشاهدة
0
9.4 K
تم نشره في 2021/12/02

Hallelujah watu wa Mungu, Kwama ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2021 nimeleta kwenu wimbo huu wa kumsifu Bwana wa majeshi,ninaimani wimbo huu utafanyika baraka kwako na kwa wengi utakao wafikia.nakutakia baraka zote kwa kuendelea kuwa pamoja nami. Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ... Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739. MUNGU AKUBARIKI SANA.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 775