المدة الزمنية 6:00

Hii Technology Imefanya Magari Ya Umeme Kutikisa Soko La Dunia

بواسطة Maxtech tv
192 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/12/21

Historia ya magari ya umeme yani Electric Vehicles au EVs kwa kifupi ni ya zamani sana toka mwaka 1899 hizi gari zilikuwa ni rahisi kuwaka, safi na zilikuwa hazina kelele ukilinganisha na magari yenye engine za mvuke wa maji steam engines au zenye engine za mafuta lakini kuziwasha lazima uzungushe chuma kwa dakika kazaa ndo zilikuwa zinapatina mwishoni mwa century ya 19 karibia 40℅ ya magari marekani yalikuwa ya umeme kwenye miji ambayo ilikuwa tayari na umeme. Magari ya umeme yalikuwa na tatizo moja tu BATTERY battery zake zilikuwa hazina ufanisi wa kutunza charge kwa muda mrefu kwaiyo inamaanisha hauwezi kwenda umbali mrefu ukiwa umeicharge mara moja, kwaiyo zilipigwa chini na magari ya mafuta na hizi gari zilitoeka kabisa sokoni. Lakini mwaka 2008 Tesla Motors waliachia gari ya kwanza ya umeme inayo tumia Lithium ion battery battery kama la simu yako Hili gari ni Rodster na ilikuwa na uwezo wakwenda umbali wa hadi 320Km ukiwa umeicharge mara moja, tesla waliweza kudouble ile range ambayo magari ya umeme zamani yalikuwa yanaishia na kwanzia hapo soko la magari ya umeme yali rudi sokoni kwa rasmi na kwa kasi kubwa kweli. Leo kwenye Techin6 tutaangalia hii technology iliyo wezesha haya magari ya umeme EVs kushamili sokoni tukianza na Battery. 0:00 Historia ya magari ya umeme. 1:20 Mabetri yanayotumika kwenye magari ya umeme (Lithium ion Battery Li-ion). 3:02 Aina ya Motor zinazotumika kwenye magari ya umeme. 3:31 Teknologia ya Chaji za magari ya umeme. 4:09 Uchafuzi wa mazingira. 5:14 Upatikanaji wa magari ya umeme miaka kwa miaka ijayo. 💠Subscribe channel yetu /Maxtechtv?_confirmation=1 📺 Angalia video zaidi kwenye hii playlist Tech in 6: /playlist/PLi7nttBdg4s_2mzrFov68zDvy1mejZ5Xu Social media ➰Twitter http://bit.ly/maxtechtvtwitter 💥Instargram http://bit.ly/maxtech__tv #Magariyaumeme #ElectricvehicleTanzania #Tesla #EVs #Techin6 #maxtechtv --------- Asante ---------

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0