المدة الزمنية 47:18

KARIBU KATIKA DARASA HURU LA VIJANA STADI ZA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI

بواسطة SAVP TV
236 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2020/10/02

Upo umuhimu wa kila kijana kufanya maamuzi kwenye maisha na maamuzi haya umsaidia kukubalika katika jamii, Si hivyo tu bali hata katika maisha yake binafsi umwongoza kukua kiuchumi pia. Darasa huru kwa vijana ni maalum kwa ajili yako,jifunza namna kijana anavyoweza fanya maamuzi kwa USAHIHI.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1