المدة الزمنية 4700

NEW MV VICTORIA ilivyopagawisha wakazi wa Bukoba

بواسطة Azam TV
6 262 مشاهدة
0
43
تم نشره في 2020/06/28

Wakazi wa mkoani Kagera walipolipuka furaha baada ya kuwasili kwa meli ya MV Victoria ambayo baada ya kukarabatiwa kwa kubadilishwa robo tatu ya vifaa vyake, sasa inaitwa New MV Victoria hapa kazi tu. Meli hiyo ilitia nanga katika Bandari ya Bukoba na kupokelewa na wananchi wa Bukoba sambamba na viongozi wa mkoa huo wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa, Brigidia Jenerali, Marco Gaguti. #azamnews #habariwikiendi #kagera #bukoba #mvvictoria #newmvvictoria #azamtvupdates Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 8