المدة الزمنية 5:16

WAZIRI MKUU AKASIRIKA, AWAFOKEA EPZA - SIJARIDHISHWA, WAHAMISHWE KAZI

بواسطة Global TV Online
9 084 مشاهدة
0
62
تم نشره في 2021/06/18

WAZIRI MKUU AKASIRIKA, AWAFOKEA EPZA - "SIJARIDHISHWA, WAHAMISHWE KAZI" WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) wilayani Ubungo ambapo amesema hajaridhishwa na utendajikazi wa mamlaka hiyo, hivyo ameagiza yafanyike mabadiliko makubwa kuhakikisha lengo ya uanzishwaji wake linafikiwa. “…Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda (Dotto James) waondoe hapa Mkuu wa Kitengo cha Sheria Sara Mwaipopo na Meneja Uwezeshaji Grace Lemunge kwa sababu wanafanyakazi kwa mazoea na urasimu mkubwa. Hapa hatuhitaji urasimu, tunataka wawekezaji.” Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Ijumaa, Juni 18, 2021) wakati akizungumza na watumishi baada ya kutembelea eneo la EPZA lililopo wilayani Ubungo, Dar es Salaam. Amesema hajaridhishwa na viwango vya uwekezaji kwa sababu ya urasimu uliokuwepo EPZA na amewataka watumishi wabadilike. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 44