Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Nchemba amesema amepata ajali baada ya gari alilokuwa amepanda kugonga punda aliyekuwa akikatisha barabarani
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Februari 21, 2019 kumsomea Maelezo ya Awali msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu
Waziri wa Nishati Dk Medard Kalemani ametoa siku tano kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kumaliza changamoto ya umeme kwenye maeneo yanayokosa nishati hiyo jijini Dar es Salaaam
#Mwigulu #Godzilla #Wema