المدة الزمنية 5:49

JINSI YA KUPIKA KEKI, KILO 2 TUUU/ BIASHARA YA KEKI : Mziwanda Bakers

بواسطة Mziwanda Bakers
166 690 مشاهدة
0
1.6 K
تم نشره في 2019/11/21

Katika Video hii... nimejaribu kuwaelekeza jinsi yakupika keki kilo 2 kwa biashara na kwa upambaji Social media -Instagram @mziwanda_bakers Asanteni Ingredients Unga /Flour 2kg Mayai/Eggs 20 Maziwa/Milk 1ltr Sukari/Sugar 1200g Margarine 1000g Ladha/Flavour 10mls Baking powder 60g

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 378
  • @
    @glsflorahflekerntuuyozangeمنذ 4 سنوات Thank you for sharing,very nice cakes .,but where can i buy that oven and trays ??.plz thanks
  • @
    @ilhamkeis9609منذ 4 سنوات Dada mziwanda ninerudi tena,nimejaribu recepe leo wallahi nataman nkutumie picha,cake zimetoka vizuuti sana na kaini..
    Nakuombea kwa Allah subhaana id="hidden1" class="buttons"> huu wataala azidi kukufungulia rizki na kukuzidishia ujuzi na barka zaidi..aamin na shukran sana dadaangu.
    ....وسعت 7
  • @
    @alexandrinadomaino9868منذ 4 سنوات Woow safi sana unaongea vizur thanks dear. 5
  • @
    @halimavuhya5881منذ 4 سنوات MashaAllah inavutia kweli mm naomba kama waweza kunipa vipimo ya kutoa keki kilo moja tu nimpikie mwanangu ya birthday. Asante 1
  • @
    @husseinparco9640منذ 4 سنوات Mashallahu tumependa Allah akuzidishie inshallah 1
  • @
    @mariamsamson3927منذ 4 سنوات Kazi nzuri hongera.. naomba kujua naweza weka maji badala ya maziwaah..
  • @
    @fahimanassor9696منذ 4 سنوات Asante sana mamy naomba kujua hivyo vikopo nikimwambia fundi anitengenezee nimpe kipimo gani
  • @
    @officialnaa8470منذ 4 سنوات Hongera sana nimependa vipimo tu naomba iwe rain 1
  • @
    @judithfrank4968منذ 4 سنوات kazi nzuri dear, nimeipenda, nauliza ni aina gani nzuri ya baking powrder kwa ajili ya keki na maandazi pai 1
  • @
    @aminamwashabwi6470منذ 4 سنوات A. Alykm Dadaa. Mzima kweli? Kimya Sana. tumekosa video zako Sana wallah
  • @
    @charlesnams1358منذ 2 سنوات Kazi safi sana hongera! Na je mko nafasi ya kuonyesha mtu moja Kwa moja
  • @
    @suzanealoyce6589منذ 3 سنوات Hongera sana Dada asante kwa somo zuri
  • @
    @user-bm5md2tz7rقبل 3 أشهر Thanks quantity ya all those ingredients plz dada
  • @
    @hussenjuma1049منذ 2 سنوات Minaomb kuuliz kwann mm nikipika keki haikai Lev inajaa upand mmoj
  • @
    @issahemedi4057منذ 4 سنوات Mashallah mziwanda bekar mko vizuri asante dada nimefata maelekezo yako cake imetoka nzuri mno Mungu akubariki
  • @
    @sofiaahmed8880منذ 4 سنوات Mashallah ! Jee unaweza kunifundisha hio biashara nami nikafunguwa biashara yangu. 1
  • @
    @malicelaluambano6181منذ 4 سنوات Mashaalah kipenzi naomba nijuze hivyo vikopo vipimo vyake nikachonge mpenzi namimi ndo naanza,nijue hicho unachouza keki 1000 vipimo vyake na hii ya box
  • @
    @idrissaselemani1301منذ 4 سنوات Ety ngano 1kg inahtaj sukar ,mayai/maziwa,siag kias gan 1
  • @
    @sabrasalum8898منذ 4 سنوات asalam aleykum naomba unifundishe keki ya mayai 6 pls
  • @
    @MariamMohamed-bw8xfمنذ 4 سنوات Dada mziwanda naomba tuwasiliane ili tuonge kuhusu hizo mashini dadaangu plz mm niko njee ya Tanzania
  • @
    @kasawakiraba4434قبل 11 أشهر Hello mziwanda baker sorry hapo kwenye maziwa naweza tumia kimiminika gan tofauti na maziwa?
  • @
    @sheilasalum5325منذ 3 سنوات Mashaallah mie nataka kujua bei ya oven na mashine
  • @
    @magrethnzoyo1211منذ 2 سنوات Habali mafunzo ya keki sh ngapi? Na ni muda Gani. Asant
  • @
    @saraphinamwaluko1439منذ 5 سنوات Hongera sana kazi nzuri. Mungu akujalie zaidi na zaidi. 1
  • @
    @najlaskitchen1572منذ 4 سنوات Dada naweza tumia handmixer kwa keki hii ya kilo mbili?
  • @
    @sherrysaleh4633منذ 4 سنوات As.kum habibty naomba kujua Kwa mchanganyiko huo wa 2kg unatoa cupcake ngapi ndani yake za 500 miatano.please.
  • @
    @sarahwilson586منذ 5 سنوات Hongera Sisy.. Nimefurahi kuona kazi zako huku. Big up. 1
  • @
    @ashanassor7103منذ 5 سنوات Asante Mimi niko Uganda lathaa hizo zapatikana 1
  • @
    @anethmpoma1132منذ 4 سنوات Samahani Dada,,kwenye baking powder ni 60g ambayo ni vijiko vingapi? 1
  • @
    @dorineanatory5161منذ 4 سنوات Nilitumia hii recipe cake ilitoka vizuri sana. Asante
  • @
    @fatinasempanga2455منذ 4 سنوات Me naomba kujua kinachofanya cake iwe na unjano mzuri ndani na sio brown
  • @
    @glorymsof5879منذ 3 سنوات Nimeipenda sana kwa kwel sasa napataje hivyo vikopo jaman
  • @
    @rehemavincent5034منذ 4 سنوات Hi mziwanda,
    Je natakiwa ku preheat kwa muda gani na Moto wa kiasi gani?? natumia oven mdogo
    Pia wakati wa kuoka natakiwa kuset baking function/option ipi ??natumia PMC oven
  • @
    @elizabethsamwel9655منذ 4 سنوات Zimetoka cake ngap? Na ukumbwa Wa inch ngap? Thanks sis.
  • @
    @muznasilima5978منذ 2 سنوات Habar dada
    Nimejaribu kufany Ila sikuziweza hazikuvimb hlf km zilikua na nzito na majimaji
  • @
    @dorcasbundala2597منذ 3 سنوات Its nice, bt nmejarbu yangu haina weupe mzur kwa ndan na ulaini
  • @
    @janethamars7262منذ 4 سنوات Jamani mkoa wa mwana amna wauzaji wa cake mm niko nyehunge buchosa nataka cake ya birthday ya mwanang
  • @
    @brenderminani94منذ 5 سنوات Mungu akudaidie katika kazi yako Upo vzr nimeelewa ila vizur ungetuambia sukar kiasi gani bluband kias gan kula kitu ulichotumia ni kiasi gani nakupenda na kazi yako
  • @
    @bettymassanja881منذ 4 سنوات Samahani dada Mziwanda Bakers, gram 60 ni sawa na vijiko vipimo vingapi tafadhali?.
  • @
    @tumainijacob6018قبل 9 أشهر Naomba vipimo vya cake ya unga kilo mbili
  • @
    @zunaidahkhatym4175منذ 4 سنوات Naomba utuwekee na vipimo sijaona mfano baking powder umeeka vijiko vingapi
  • @
    @brenderminani94منذ 5 سنوات Dear ninashida na namba yako ya biashara
  • @
    @sabrasalum8898منذ 4 سنوات naomba namba ya whatsup pls kama hnafundisha kwenye whatsup
  • @
    @agnessahia415منذ 4 سنوات Hivi nisipo weka maziwa inakuwaje na cupcakes ukiziweka maziwa zinachukua mda gani bila kuharibika dada naomba unijibu pls
  • @
    @sharoo_cakesمنذ 2 سنوات @Mziwanda bakers jee waeza nisaidia na vipimo za tin yako ya shepu na mkate(loaf pan)???? nitashukuru sana
  • @
    @azzahsaed7687منذ 4 سنوات Habari keki nzuri ma sha Allah Lkn naomba kuuliza zinaweza kukaa mda gani bila kuharibika kwasababu umetuma maziwa au lazima zikae kwenye fredge
  • @
    @lmmaculatetoto3957منذ 4 سنوات Beautiful, nitajaribu ata Mimi, nakupenda sana
  • @
    @floraelias5712منذ 2 سنوات Ss unaelekeza lkn wala huelezei vipimo ndo nn saaa
  • @
    @noelakataraiha6692منذ 4 سنوات NmekupendaA!! Yaan uko yule mtu watu tunataka
  • @
    @zuhurashafii6305منذ 4 سنوات Amazing job, hongera sana , nataman kufika hatua uliyofika, nataka kujua baking tin zako ni inches ngap kwa ngap
  • @
    @bahatimsuya3031منذ 4 سنوات Hongera sana kazi yako nzuri sana. Naomba kujua bei ya oven kama hiyo na naipata wapi?