Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC wamethibitisha kukamilisha usajili wa winga wa kimataifa wa Malawi 🇲🇼, Peter Banda kutoka Nyasa Big Bullets ya nchini kwao mkataba wa miaka mitatu.
👉 Uhamisho huu ni kukaribia kukamilika kwa Uhamisho ghali Afrika Mashariki, Luis Miquissone kwenda Al Ahly..#predator
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 25
مقاطع الفيديو ذات الصلة على DEAL DONE;SIMBA WAMTANGAZA RASMI KINDA MMALAWI | PETER BANDA | MIAKA MITATU | BONGE LA MCHEZAJI predator: