المدة الزمنية 5:46

TAZAMA STYLE ZA VIJANA WANAVYOCHEZA NA PIKIPIKI BILA WOGA ARUSHA TUNAITA DEDE

بواسطة Millard Ayo
881 798 مشاهدة
0
6.2 K
تم نشره في 2020/06/23

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 549
  • @
    @pascalmsechu68744 years ago Where is the government intervention in this youth's ideologies..?! These guys make Arusha unique and unstoppable for raising talents ...Asanteni sana machalii wa R....more like ..... 7
  • @
    @shabanathuman26964 years ago Arusha ni yetu, tuachen tupige dede
    A city for the life
    74
  • @
    @emmanuelskmtanzania244 years ago Arusha city ni Marekani iliyopo Tanzania 🏍🏍 17
  • @
    @ramadhanihudhaifani43764 years ago Huku ndiko mambo ya pikpik yalipoanzia buana! Chuga hoyeeee...👍👍👍🙌🙌 4
  • @
    @philip7884 years ago Hii kitu nilikua naonaga mambele tuu, big up sana Chuga Boyz mko vizuri sana mnaweza shindana ata na watu wa mambele(ulaya). 4
  • @
    @honorykwahhay43644 years ago Machalii wa R-chuga ni shidaa, shedede, hawaogopi kitu wowote, respect sana arifu!! 2
  • @
    @kingjosse47814 years ago A can call them cowboy's
    Like those in Texas USA keep it up machalii zang
    6
  • @
    @gemkachar4 years ago Vijan wamekosa wateja. Vijana wamekosa ajira. Wanahatarisha maisha yao. Wakishapata majeraha hawana hela za kulipa gharama za hospitali. Wataanza kuomba serikali iwasaidie. 2
  • @
    @daviesrankingz61214 years ago Madingiwesee piga kelele Tanzania bila Arusha haijakamilika...huo ndo mkono wa budah 13
  • @
    @PuppyTale3 years ago Ni lil Puppy hapa- natazama kutoka kenya..Kisumu..
    Mimi ni CEO PUPPY TALES ENTERTAINMENT 💥💥🥂
    NIMEFURAHIA
    1
  • @
    @hanstenkeedy35024 years ago Mm sishangai kabx maana chuga mhhhh maana bangi ya chuga tofauti na ya mwanza 😂😂😂😂😂😂😂 42
  • @
    @peterkibuga4014 years ago naomba mwenye mbegu ya bangi za chuga nipande mwaka kesho mtaniona kwenye mashindano ya dede huko 😂😂 5
  • @
    @40kstore4 years ago Hiyo hela mnayolipwa ni ndogo sana 🔥🔥🔥 3
  • @
    @hijaTz3 years ago Mambo yente aipingwi aikatai_Kama vp gonga like a po chini twende sawa wajuba
  • @
    @ferouzmasoud47414 years ago Mwanangu RASI umetsha sanaaa 👊,,,,,,,Hyo kwel Dede Imeisha hyooo 👊 9
  • @
    @halimamohammed41082 years ago Kifo mkononi polen wazazi maana hiii kitu mda wowot 😭😭🙏🙏🙏 1
  • @
    @jsmastory57704 years ago Mm ni mkazi wa dar es salaam ni kijana , ila hakuna watu nawaelewaga kama watu arusha nawaogopa sana wanajiamini kila sector wapo ... 12
  • @
    @ummuadam24234 years ago Naweza kunyayua Thairi mojaaa fresh😀na kupata kipatho 1
  • @
    @wazirisukari51784 years ago Wako vzr ila wavae vitu vya kujikingia sasa 2
  • @
    @gaudinamosnchobe49094 years ago Awa wakija dar akikwapua kibegi chako ata auwezi kufukuza 27
  • @
    @shaficabdalaziiz2184 years ago Big up vijana, ukiwa na kipaji inabidi ukifanyie kazi na sio kukaa ndani. Pamoja sana. 1
  • @
    @Evo_Tv14 years ago Hongera Sana Millard Ayo
    1: kufikisha viewer's billion 1
    2: kufikisha subscribers millions 3
    Viva Ayo Viva
    2
  • @
    @missmoona44973 years ago Yaan akipiga mweleka hapo haamki, harafu hawavai mavaz speshow kama wazungu hata element hawavai, wanachukulia poa kweli bang sio chai🙌🙌🙌🙌🙌
  • @
    @boazsamwel61114 years ago Michezo ipo mingi saaana ..waziri wa michezo inabidi aangalie sio Muchezo wa mpira miguu tu.. kama unakubariana na mm gonga like
  • @
    @mrjun2562 years ago Big up bro we need to join you from uganda
  • @
    @izackslaa62404 years ago Dede kweli wahuni wangu mmekimbiza Ila ngadu sjaona kabisa yani 1
  • @
    @abbatv59394 years ago Watu bhna sehem ya comments wanaomba like duuh sijui mnataka kuzifanyia nini hizo like 3
  • @
    @cheiknamouna20584 years ago Stanley mwanangu huo mchezo siyo mzuri unahatarisha maisha yako nakuona ujue
  • @
    @alextercisio3 years ago In Kenya if you try such things be sure u will find yourself in court ....very entertaining Arusha mko sawa 1
  • @
    @lucasjames21024 years ago Kelvn Gabriel ndo juuu zaid nimemkubal kinomama style yake imezid wenzie 3
  • @
    @nuruworldinsight29574 years ago Daaahh hawo wasenge wa chuga wanatisha Aiseee .big up kwaoo
  • @
    @khadejarajab80074 years ago Chuga kama chuga hiyo hatari na nusu 😂😂😂😂💥💥💥💥 16
  • @
    @sweetmama68854 years ago Mchezo mzuri. Ila hawa vijana hawana vitu special vyakuvaa endapo mtu ataanguka kwa baati mbaya asiumie. Jamani chunge vichwa, migongo, magoti na mikono. Saaaana vichwa na migongo. Vikipata shida ni hatari sana kwa maisha. 3
  • @
    @ibahatimoses64314 years ago Nawakubali wana Kaskaz @simoo na mwenetu Kelvin kwamaretu moja
  • @
    @mantyara99814 years ago Jamaa anaclaim pikipiki itaharibika ikapata ajali ila sio yeye daah🍁🍁
  • @
    @Martin-lv1xw4 years ago machali ya R vpaj ni vingi na tunafanyaga mengi hiyo ni sample ya eneo moja tu. kama wajuba wanafanya hiv na bodaboda ambazo ni nzito na cyo special kwa michozo wakipata pikipiki za michezo ni kisanga kilo2 hivi. 1
  • @
    @bryanfelix11724 years ago Imeisha Hiyo big up to my City R-chuga
  • @
    @marthawillium99204 years ago Hi ndo kitu naipendeaga chuga yangu, hainaga kuiga bongo👌
  • @
    @salumkhassan9303 years ago Usalama Hawa Kuzingatia
    Ni Hatari Kwa Usalama Wao
  • @
    @mohammedmmari54594 years ago Arusha haiko Tanzania arusha ni nchi knayojitegemea😐🤨🤛🤛🤛🤝🤾‍♂️🤸‍♀️🤸‍♂️🤸‍♂️🧗‍♀️🧗‍♀️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🕺 2
  • @
    @officialmrdeo81164 years ago 😂😂😂😂 Hakika hakuna mji naupenda kuutembelea kama Arusha Wenyeji wa Arusha Nikaribisheni Basi 3
  • @
    @uwezowamunguutendaokazi30434 years ago Michezo iyo ni hatari sana. Dodoma mmoja alisagika kama nyama ya kusaga. Mungu mkuu awasaidie wote. Amen
  • @
    @machintangachibwena59224 years ago Show nnzuri sana hiyo ila ungewashauri wavae da headment
  • @
    @sapic1214 years ago Hahah raska apo sakina kama umepasoma gonga like 5
  • @
    @habarikazanzibar36674 years ago Muje na Huku Zenji, tunanyanyua mpaka Vespa 8
  • @
    @dtejoz4 years ago Ma-Home boy mmeongea kama mpo Ungalimi😆😆😆, em jielezeni vizuri mkae kibiashara! 1
  • @
    @bwaxmeishaa80594 years ago Chugamaica wahgwan wote monsterbraaaaaap hapa wakilisha Sana
  • @
    @alluminiumexperttz.12mview134 years ago So funny but too risky. They need special clothes and special bike for this game. 21
  • @
    @ladigracialyakurwa5974 years ago The danger thing is no protective gears lol! 9
  • @
    @fredyjohnwaifakaratanzania294 years ago Dingiweseeeeeee ngingange wanaume wa darfreede hawauwezagi huu mzezo yedede
  • @
    @nyiguonlinetv83904 years ago Nimewapenda bureeeee,..wasonge mbele,..noma tumekwenda nje kidogo ya nchi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂z 8
  • @
    @chifuthedoni88892 years ago Hayo ni madawa tu, Msidanganywe na msijaribu kuiga! mtakufa!