المدة الزمنية 10:00

NENDA KAMFUNGUE PUNDA WAKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO.

8 265 مشاهدة
0
109
تم نشره في 2021/10/04

Yesu alitaka kuingia kwenye kile kijiji lakini ghafla akasita na Roho Mtakatifu akamletea maono, Yesu akajiona anaingia kwenye kile kijiji kwa namna ya tofauti na alivyoingia kwenye vijiji vingine. Alijua anapaswa kuingia akiwa amepanda mwana punda kwa sababu kile kijiji kilikua na kitu cha TOFAUTI. Pindi Mungu anapozungumza na wewe au ana nia ya kufanya jambo kubwa sana, anarahisiha hayo maono ili yakufikie wewe.Na maono hayo yakija kwako yanakuja kama wazo, unajihisi unataka kufanya jambo fulani.Wakati Yesu anakurahisishia upate kuelewa, ni hatari sana unapotaka kuona maono hayo kwenye level ambayo hujaifikia. #PastorSunbella#Mfungue#Punda

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 17