المدة الزمنية 2:25:18

JINSI YA KUCHAGUA CHAKULA AMBACHO NI SALAMA ILI KUONDOKANA NA KITAMBI CHA WANGA NA MAGONJWA YA LISHE

بواسطة Dr Boaz Mkumbo MD
27 790 مشاهدة
0
359
تم نشره في 2017/04/08

Boaz Mkumbo MD Ni daktari wa magonjwa ya binadamu amehitimu shahada yake ya kwanza chuo kikuu cha Catholic University of Health and Alliend sciences-Bugando Mwanza Tanzania. Baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza alifanya kazi kwa mwaka mmoja kama mafunzo ya vitendo (Internship) hospitali ya rufaa ya Mwananyamala wilaya ya kinondoni Dar es salaam. Na baada ya hapo, maisha yake amewekeza kujifunza na Kuelimisha “Jamii kuhusu Magonjwa ya Lishe na Jinsi ya Kujinusuru na kuyatibia magonjwa haya kwa kutumia sayansi ya mapishi bila kutumia dawa aina yeyote ile” Pia ni Mkurugenzi wa Healthy Eating Co Ltd na Healthy Eating academy ambayo imejikita hasa kupenyeza elimu ya sayansi ya mapishi, na Magonjwa ya lishe. Amekuwa chachu kubwa sana katika kubadilisha afya za watu mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii na nje ya mitandao ya kijamii,ndani ya nchi na nje ya nchi,amewakomboa maelfu ya watu,na anaendelea kuigusa jamii kila kukicha. Anasema,dhamira yake ni kuwafikia watu wengi,kwa sababu wengi hawezi kuwafikia kwa upeo wake wa ana kwa ana,ameamua kuandika kitabu hiki kinachokueleza,Sayansi ya mapishi na uhusiano wa magonjwa na vyakula vyetu vya kila siku. Siku zote amekuwa akiamini kwamba,chakula asili ni jikoni mwetu ni “Tiba yenye nguvu sana” Hawezi kuifananisha na dawa yoyote duniani na haina madhara kama ilivyo dawa zingine za kitalamu. Kazi yake kubwa na furaha yake ni kuwatua watu mbalimbali ambao ni watumwa wa Magonjwa, na dawa nyingi kwa sababu ya Lishe mbovu. Kujifunza zaidi tembelea ukurasa wake facebook https://www.facebook.com/drboazmkumboMD/ Website :www.drboazmkumbomd.com Whatsapp 0767074124

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 94