المدة الزمنية 1:30:14

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA EVENING GLORY 04 / 01 / 2022

5 266 مشاهدة
0
103
تم نشره في 2022/01/04

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA EVENING GLORY 04 / 01 / 2022 KICHWA CHA SOMO: VITA LANGONI ( MWANZO WA MIEZI ) Wazo: "Endelea mbele, usikubali Kupunguziwa Mwendo" Waamuzi 5 : 8 Yeremia 29 : 11 - 13 Ufunuo 12 : 11 Waamuzi 5 : 8 8 Walichagua miungu mipya, Ndipo kulikuwa na vita malangoni; Je! Ilionekana ngao au mkuki Katika watu elfu arobaini wa Israeli? Yeremia 29 : 11 - 13 11 Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. 12 Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. 13 Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Ufunuo 12 : 11 11 Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Mhubiri : Mwl. Eng. Goodluck Mushi Kwa maoni na ushauri Smu :+255655516053, +255754516053 YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 13