#RealEstate #BuyuniHousingProject #Psssf #JenisterMhagama
Serikali imebaini kuwa nyumba zilizojengwa kwa ajili ya kuuzwa kwa bei ya chini kwa wafanyakazi hazikuendana na uhalisia wa soko hivyo Waziri Mhagama amezishusha bei ili ziendane na vipato vya wananchi