المدة الزمنية 3:4

TASWIRA KIMATAIFA : Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron azabwa kofi, Biden aanza ziara barani ulaya

بواسطة Dalmus Sakali
54 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/06/10

Rais Wa Ufaransa Emmanuel Amepigwa Kofi Na Mwanamume Mmoja Wakati Wa Ziara Yake Kusini Mashariki Mwa Nchi Hiyo. Video Ya Tukio Hilo Imemuonyesha Mwanamume Mmoja Aliyekuwa Miongoni Mwa Watu Akimzaba Kibao Rais Macron. Huko Amerika, Rais Joe Biden Wa Marekani Ameondoka Kuelekea Uingereza, Kuhudhuria Mkutano Wa Kilele Wa Kundi La Mataifa 7 Yenye Nguvu Kubwa Kiuchumi La G7. Tafadhali SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi #Taswira_Kimataifa #JoeBiden #EmmanuelMacron

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0