المدة الزمنية 9:35

Ni Noma: Hawa Polisi kweli hawana utani

بواسطة HABARIMPYA TV
293 296 مشاهدة
0
1.1 K
تم نشره في 2018/12/22

Ikiwa zimesalia siku kadhaa kwa ajili ya sherehe za Krismas na mwaka Mpya mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Arusha Charles Bukombe amefanya oparesheni ya kushtukiza kwa magari ya abiria na kukagua magari yote yanayodaiwa huku akiwataka wasafiri kuwa makini ili kusherekea krismas kwa amani na Upendo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 249