المدة الزمنية 45:53

DOA LA NDOA 3/13 | Season II | BY FELIX MWENDA.

بواسطة Simulizi Mix
4 675 مشاهدة
0
93
تم نشره في 2021/12/20

Kwa simulizi zaidi subscribe channel hii Simulizi Mix na kwa simulizi fupi subscribe channel simulizi fupi bofya hapa /simulizifupi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 44
  • @
    @ummubilaalfatma8529منذ 3 سنوات Hakujua kama kuna Mungu wa hacheleweshi kujibu. 1
  • @
    @evalineedwardsuzanne9862منذ 3 سنوات Sio sahihi hata kama alikosea anatakiwa kupata msaada 2
  • @
    @mwanah3643منذ 3 سنوات Jmn muna shange kafanya makosa lkn pia mama fadhili pia kafanya sivy n mke wafadhili pia anamakosa 3
  • @
    @joharimrisho8917منذ 3 سنوات Mm naona mke qa fadhili kafanya kosaa
    Kwann asimsikilize mumewe??
    2
  • @
    @peninamwailunda8813منذ 2 سنوات Wow Felix kwa kujifaagilia, I think is real, the way you sound
  • @
    @joycekazungu4003منذ 3 سنوات Mungu anasema semehe Saba mara Sabini fadhili msamehe to mnashange
  • @
    @salhahassan2591منذ 3 سنوات Mkewe fadhili yupo sahihi sana ubaya haulipwi kwa ubaya
  • @
    @daddd3967منذ 3 سنوات Felex hata mm ninamoyo huo warahuiya. haha 1
  • @
    @peninamwailunda8813منذ 2 سنوات Mh Japhet kwa roho hiyo, umepokea malipo, nadhani umesahau kuwa Dunia haina mjanja
  • @
    @mwajumamany6402منذ 3 سنوات Mungu anasema samehe Nami nitakusamehe na anae kutendea ubaya usimlepize ubaya muache mungu ahukumu 1
  • @
    @mwajumamany6402منذ 3 سنوات Mi naona hakuna nbaya ira ni hasira kwasababu mama kachukua nakakumbuka mabaya mke anasimamia dini 3
  • @
    @mriamaria7433منذ 3 سنوات Jamn watu hamlali asante mzee masaut na mtunzi hongera kwake 1
  • @
    @marthajohn9120منذ 3 سنوات Haya leo sijachelewa sana namba 2,. Shukrani kaka felix kwa sauti nzuri na Sam darful kwa utunzi mahiri 2
  • @
    @ZainaB-vt6uvمنذ 3 سنوات Mbaya ni mwana shange lakini tunaambiwa tusilipize jema kwa ubaya tunatakiwa tumuachie mungu ahukumu
  • @
    @latifajafari3375منذ 3 سنوات Mwenye makosa hapo ni mama ake na fadhili hakutakiwa alipe ubaya kwa mnashange
  • @
    @peninamwailunda8813منذ 2 سنوات Mama fadhili yupo sawa kbs, ma huyu dada Saada mkewe Faraji pamoja na roho nzuri hakupaswa kumwacha Faraji,eti sababu Faraji hajamsaidia make wa zamani, nadhani bado Faraji hajapata mke sahihi loop
  • @
    @anithamollel863منذ 3 سنوات Mh! Hapo Mama Fadhili Ana Makosa Maana Unaambiwa Usilipize Kisasi. Kisasi Ni Juu Ya Mungu Ndo Anajua Atakavyo Lipa Mwenyewe. 1
  • @
    @nurafedrick378منذ 2 سنوات Mama mohaa unashindwaje kulea mwanao jamani nani kakuambia mwanaume mmkichana atakkkutummia matumixii
  • @
    @vero756منذ 3 سنوات Some time things seem to be out of control but anybody can become angry nd that is easy but to be angry with the right person nd to the right degree nd id="hidden2" class="buttons"> at the right time for the right purpose nd in the right way that is not within everybody's power nd is not easy".why?because anger is a killer instinct in human beings.thks fm ....وسعت 1
  • @
    @nurafedrick378منذ 2 سنوات Mama fadhili ako sahii mtoto anauma usaliti tena kwanyumba yak e halafu kisu nyumbani kwake mama ako sahii
  • @
    @fatumachai8595منذ 2 سنوات Kama mama ana dini kikweli, mama nimbaya cozy waambiwa usilipize ubaya kwa baya
  • @
    @sophiebakiganizia9551منذ 3 سنوات Maman Fadhili iko saahihi saana kwa sababu yeye ndio anjuwa shida zote alipitiya ila Roiya anaamuwa bila kunyenyekeya. ama bila kutumiya ekima sababu iyo si kitu ya yeye. Kuacha ndoa yake
  • @
    @halimashaib9102منذ 3 سنوات Mnashange ni mbaya lkn hastahili hio adhabu. Allah anasamehe mbona bi chande asisamehe. Rau nimekupenda kwa moyo wako. Umekulia malezi ya dini kweli
  • @
    @eca-mlondanyiabokyo4416منذ 3 سنوات Mtoto anauma !
    Napale unapo ona anafanyiziwa makashifa bila kosa lolote?
    Mama fadhili yupo sahihi hata kesho MNASHANGE aweza kufikiri siku id="hidden4" class="buttons"> zote atasamehewa na faddhili bali najuwa kwamba Mama Fadhili ata msamehe tu kwa Ajili ya mkwewe kuona mwanae hana furaha
    ....وسعت 3
  • @
    @khanifajoy7473منذ 3 سنوات Mamake fadhili ndiye alikuwa siku mwanawe amedungwa kisu.mamake fadhili ndiye alipitia yote fedhuli za mnashange..mke wa fadhili anafaa kumsikiza mumewe id="hidden5" class="buttons"> kulingana na dini.fadhili anafaa kumsikiza mama kulingana na dini na zaidi ya vile aliyapitia ..mnashange wacha ale jeuri yake ..bila hivyo hawezi soma somo ....وسعت
  • @
    @fatmas7338منذ 3 سنوات Kiukweli rauhia ana makosa hata kama kusamehe ni bora zaidi ila inahitaji busara ya hali ya juu kwani ss kina mama tunapitia magumu kwa watoto wetu kwa id="hidden6" class="buttons"> upande wa fadhili yupo sahihi maana pepo yake ipo chini ya miguu ya mzazi wake kwaio kwa kuitafuta pepo lazima awe pamoja na mamaake ....وسعت
  • @
    @nibigiramwajuma7925منذ 3 سنوات Asante sana felix masauti na sam darful kwa muendelezo mbarikiwe sana fetty anatiya huruma maskini 1
  • @
    @nurafedrick378منذ 2 سنوات Japhet siku zote usiongee ukamalixaa eti kwann pesa yako ulipatia kilema haya kilema kimekurudia
  • @
    @vero756منذ 3 سنوات Some time things seem to be out of control but anybody can become angry nd that is easy but to be angry with the right person nd to the right degree nd id="hidden9" class="buttons"> at the right time for the right purpose nd in the right way that is not within everybody's power nd is not easy".why?because anger is a killer instinct in human beings.thks fm ....وسعت 1
  • @
    @eca-mlondanyiabokyo4416منذ 3 سنوات Mtoto anauma !
    Napale unapo ona anafanyiziwa makashifa bila kosa lolote?
    Mama fadhili yupo sahihi hata kesho MNASHANGE aweza kufikiri siku id="hidden10" class="buttons"> zote atasamehewa na faddhili bali najuwa kwamba Mama Fadhili ata msamehe tu kwa Ajili ya mkwewe kuona mwanae hana furaha
    ....وسعت 3
  • @
    @khanifajoy7473منذ 3 سنوات Mamake fadhili ndiye alikuwa siku mwanawe amedungwa kisu.mamake fadhili ndiye alipitia yote fedhuli za mnashange..mke wa fadhili anafaa kumsikiza mumewe id="hidden11" class="buttons"> kulingana na dini.fadhili anafaa kumsikiza mama kulingana na dini na zaidi ya vile aliyapitia ..mnashange wacha ale jeuri yake ..bila hivyo hawezi soma somo ....وسعت
  • @
    @fatmas7338منذ 3 سنوات Kiukweli rauhia ana makosa hata kama kusamehe ni bora zaidi ila inahitaji busara ya hali ya juu kwani ss kina mama tunapitia magumu kwa watoto wetu kwa id="hidden12" class="buttons"> upande wa fadhili yupo sahihi maana pepo yake ipo chini ya miguu ya mzazi wake kwaio kwa kuitafuta pepo lazima awe pamoja na mamaake ....وسعت