المدة الزمنية 1:14

JEHI LA POLISI ARUSHA LATOA TAHADHARI KUELEKEA SIKUKUU YA EID-EL-ADH’HAA

بواسطة 2GENDAH ONLINE TV
27 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/07/20

#JeshilaPolisiArusha#EidAlhaj Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishina msaidizi wa Polisi ACP JUSTINE MASEJO akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake leo amesema Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linaendelea kuwashukuru wananchi wote wa Mkoa wa Arusha kwa ushirikiano wanao endeleea kuutoa na kuonyeshea kwa Jeshi la lao la Polisi. ACP-Masejo amesekuwa hali ya Mkoa wa Arusha ni shwari hakuna matukio makubwa ya kihalifu. "Kama ilivyo desturi kote duniani waumini wa dini ya kiislam husherekea sikukuu ya Eid EL-Adh’haa ambapo itasherehekewa kwa siku ya kesho tarehe 21/07/2021" Kamanda masejo ameendelea kusema katika kuhakikisha wananchi wanasherehekea sikukuu hiyo kwa amani nautulivu,"Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu hiyo inasheherehekewa kwa amani nautulivu,kwa kuimarisha doria za miguu na magari" Ametoa wito kwa wakazi wa Jiji la Arusha na Mkoa mzima wa Arusha kusherehekea kwa amani na utulivu pia kuzingatia tahadhari zote za kiusalama kwa familia pamoja mali zao.Pia kwa watumiaji wa Barabara wafuate sheria taratibu na kanuni za usalama Barabarani ikiwa ni pamoja na watembea kwa miguu na watumiaji Kwa vyombo vya moto wasiendeshe magari hayo wakiwa wamelewa

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0