المدة الزمنية 4:44

MBOSSO ATAMBULISHWA BARAZA KUU UVCCM DAR, SHANGWE ZA TAWALA WIMBO WAKE UKIPIGWA

بواسطة Bongo5
41 248 مشاهدة
0
536
تم نشره في 2020/06/13

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda amemtambulisha msanii wa WCB, Mbosso Baraza Kuu la Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam ambapo baada ya utambulisho huo wanachana hao walianza kuserebuka wimbo mpya wa Mbosso aliouimba kwaajili ya chama hicho.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 74