المدة الزمنية 6:56

EXCLUSIVE: Afande Sele 'bangi ihalalishwe tu Tanzania'

بواسطة Millard Ayo
166 594 مشاهدة
0
759
تم نشره في 2016/03/22

Msanii legend wa bongofleva Afande Sele amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea kwanini anataka bangi ihalalishwe kimatumizi nchini Tanzania, tazama hii Interview kisha uniachie comment yako.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 236
  • @
    @shaibmakame7981منذ 8 سنوات afande you speak the truth tanzania ni unafiki tu mwingi wanazuia bangi ila wanachukuwa ushuru wa rizzla big up brother 2
  • @
    @deusmauka9626منذ 6 سنوات Hongera sana kwa kudili na kilimo na ufugaji. 8
  • @
    @edwinmaruchu5566منذ 3 سنوات Afande uko sahihi sana. Bangi iachiwe. Hata waliofu gwa kwa haya majani ni ubatili .Nchi iliyoendelea ya Canada imeamua kuacha huru, baada ya kugundua id="hidden1" class="buttons"> ni sehemu ya starehe ya mtu, nakuizuia ni kuwanufaisha maaskari na sio vinginevyo na haitakaa imalizike.tunatesana tuu na kufungana bure. Muhim isivutwe hadharani Basi.
    .
    ....وسعت 2
  • @
    @gabrieladam1065منذ 4 سنوات Mzinga wa konyagi mzima watu wanabugia hafu bangi tu ndo ikatazwe, hapanaaaaaa bangi iwe free kwanza ni mboga nzuri sana 2
  • @
    @ipyanamsomba8026منذ 6 سنوات Afande genius sana, alwayz on point we jamaa 1
  • @
    @mustafaate3731منذ 7 سنوات Wanazng kweli afande sele nakubl nimekuelewa 5
  • @
    @aminajafari2126منذ 6 سنوات mazala ni mengi sio bange 2 hongera afande watakuelewa 2 unaona mbali zaidi ya darubin 5
  • @
    @sirialemmy37منذ 8 سنوات Jembe langu Afande. Hata mimi nikiigonganga, siwezi sahamu Theory, concepts, Modals zozote kwenye exams zangu. Bangi ni kama roho MTAKATIFU 26
  • @
    @greenlight4893منذ 6 سنوات Huku kwetu USA na Canada Bangi itaruhusiwa inchii zima kuanzia (July 09 2018) 2
  • @
    @mohdmanondo7621منذ 3 سنوات Uyoo mungu si ndo ulomtukana we ndo unategemea upate baraka zake sahau rabda utubu
  • @
    @rosewamboi9079منذ 6 سنوات trueeee waache bangi ..I also do smoke bangi it a herb mi kwanza nikiwa mgojwa nikivuta bangi ugojwa unaisha.trueeee story let the government give us freedom
  • @
    @emanuelmbondo4598منذ 7 سنوات Afande Sele bana.kweli bangi mbaya sana.
  • @
    @tatunaally1510منذ 7 سنوات bangi ajaacha mtu salama huyu bangi zimemchanganya km alisema akifa achomwe yeye ana mungu jua simshangai 1
  • @
    @youngtz7538منذ 6 سنوات bangi amani
    kufikiria maisha tu
    ndiyo kz ya bng
    wala sio mbaya kabisa
    3
  • @
    @henryndosi8569منذ 6 سنوات Wewe bangi imekuzibua unataka na wengine, 4
  • @
    @fredinandonde3292منذ 6 سنوات Safi sana hata Mimi nashangaa rizla zinauzwa madukani sijui kwa nini 1
  • @
    @mohdmanondo7621منذ 3 سنوات Uyo ni mshenzi tu kamtukana mungu yy anajiona ni bora kuliko munguui eeee
  • @
    @loveyourneighbor204منذ 8 سنوات Umenena ukweli nibora bangi iwe free smoke weed free everywhere 2
  • @
    @hashimpandu5503منذ 3 سنوات Si dhani kama hata inaingia akilini hii maana bangi hihii leo hii imefanya imtukane mungu je unadhani inaingia akilini je wakati leo hii imesha fanya mtanzania id="hidden3" class="buttons"> mmoja atukane mungu je ikaahalalishwa watanzania wangapi wata mkashifu na kufanya mabaya kwenye nchi yake hakika Allah aifikishe Tanzania mwisho mwema na wananchi wa Tanzania Ameen! ....وسعت
  • @
    @dennisjulius7206منذ 4 سنوات We must smoke weed always for good meditation tell them reality . 1
  • @
    @yangaebiasal3237منذ 3 سنوات Daah jamen unafiki wanakura kitimoto unamanisha Nguruwe et umewambia ukwer
  • @
    @mosesmkami5168منذ 5 سنوات Mwenye namba ya afande Sele aisee anipe
  • @
    @jamilaismail8062منذ 8 سنوات kweli kabisa kuna vitu vinamadhara sana km viroba vijana wamekuwa km mazombie kisa wanachukua kodi na sigara pia inamadhara kisa inalipiwa kodi ndo wanaona id="hidden5" class="buttons"> inafaa kumbe awajui bangi ni kitu natural kinalimwa akiwekwi chemical lkn iyo misigara na viroba wanaeka chemical za kudhuru vitu vingine serikali inatakiwa viangalie unakuta wanafunga wavuta bangi na wauzaji wakati cocaine inauwa watu kila siku atusikii wahusika wakifungwa au kwajili wahusika wakuu ndo wao????? ....وسعت 9
  • @
    @charlcokeمنذ 6 سنوات HAHAHAHAHAHAH na umeivuta kweli ahahahahahaha, hilo jasho aiseee!! 4
  • @
    @neziali6992منذ 6 سنوات Nakukubali kaka mm mwnywe navuta nainatia nguvu hasa nikiamua leo nataka mechi hta bao 8 sna tu nikipata bangi zngu nainjoy sna tu 4
  • @
    @user-vw5pd3uu9oمنذ 8 سنوات kaongea kitu cha ukweli kabisa wara hajakosea 3
  • @
    @fabricemugheni2950منذ 3 سنوات Fabrice Mugheni
    Mumuache afande sele na amani
    Vita ya Mungu tumuachie Mungu
    Akuna ajuae Siri ya Mungu
    Kila mmoja na imani yake
    .
    ...وسعت
  • @
    @alliymkobe3949منذ 6 سنوات sele mungu anakuona
    naukifa utaenda mueleza mungu upotoshaji wako huo
    1
  • @
    @abdulban9625منذ 8 سنوات hahaha.Afante umeisifia sana bangi.eti yachizisha lakini haiui 1
  • @
    @hawahamisi6237منذ 8 سنوات oyooooooooo hahahahaaa! Afande noma chanaa
  • @
    @hawamusumbawanghatognola4470منذ 8 سنوات ulaya za padwa pia nidawa walipuwe ni ukweli .africa kwetu walami wanakuja.kwetu .kununuwa mashamba hamjui kwa sababu gani .tuwamukeni. 7
  • @
    @francekomba7615منذ 5 سنوات Afande atabaki kua afande tu msema kweli
  • @
    @mordreddesantos1492منذ 6 سنوات Daaaa ukiwa huna elimu huna dini hua km myama 1
  • @
    @ayoobalqasmi3062منذ 8 سنوات mmmmh kiama shangilien tu ila kuna mahesabu tujue 1
  • @
    @marimalasmi1805منذ 7 سنوات aiseeee kaongea point hahahahahah jaman mara mie pastor natembela na waimba kwaya
  • @
    @elisantemrita9894منذ 3 سنوات Mm situmii bangi Ila nilichangamka maneno ya mbunge Msukuma + mbunge Kishumba na Huyu Afande Sele
    Kiukweli naona kunamaali serikali imelala inapaswa iamke
  • @
    @afropanorama4730منذ 8 سنوات hivi afande unacheo gani
    mana umeongea point tupu
    16
  • @
    @johnkaleli5231منذ 5 سنوات Watu wanaosema bangi ni mbaya ndio ambao hawajai ona inavyokaawapuzi tu.BANGI IHALALISHWE 2
  • @
    @jamesshake8404منذ 8 سنوات Usicho kila wala usikitie hila.afande sele umegusa ndipo twaishi kwa dunia ilo jaa unafiki na uwoga wa tusio yafahamu na utumwa wa akili. Tulio huru kifikra tupo huru kimaamuzi pia. 13
  • @
    @dicmacwangwe8126منذ 8 سنوات Tarime mkulima wa Bangi haxhkk na keel hats viongz wanalima kinyaaama.
  • @
    @dubabaxakazoom.5530منذ 6 سنوات Mimi bangi ilinikataa katakata.nilivuta nikaendesha bike nikaona kama narudi nyuma 6
  • @
    @halimaamini8015منذ 7 سنوات Wauzwe tu km mboga nilivuta siku moja nikaona kitanda kinazungurukamamaee 27
  • @
    @hawamusumbawanghatognola4470منذ 8 سنوات afande bravo una akili sana ni ukweli .mimi navuta mpaka naenda holand .napia natumia pesa nyingi wambie wajuwe .nipesa . 1
  • @
    @charlesjustin4100منذ 5 سنوات Huyu ana matatzo kwanza hakuna ajli ya bahat mbaya hata moja
    Ilieleweke hlo afende arud shule kwanza
    1