المدة الزمنية 8:56

Hukmu ya kupiga picha katika uislamu. Je inafaa kupiga picha

6 647 مشاهدة
0
70
تم نشره في 2018/11/30

Darasa la Al- Maarifa Please Subscribe #Mawaidha #picha #Photographyinislam

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 25
  • @
    @user-qe8xp6ii1uمنذ 4 سنوات wanachuoni gani Waliikhitlafiana juu ya picha.???Halafu hiyo hadith umeifasir vibaya kabisaaa. 3
  • @
    @user-ql2om7qj3vقبل 9 أشهر Hisbi ni hisbi wattage picha na huna elmu. Shorizako utaona kiyama
  • @
    @rumaiyaramadhani5236منذ 4 سنوات Lakini sheikh wapo watu wanavipaji vya kichora unachorwa kama ulivo yaani kama unavopiga simu inavotoka kwenye camera 2
  • @
    @mafaza.tv.tz255منذ 2 سنوات Suala ya picha halina ikhtilafu. Mtume amekataza. Hakuna hadithi hata moja iloruhusu. Sema basi tu tumeshaingiwa na mazoea bas
  • @
    @omar_kojaمنذ 6 سنوات Jazakumu Allahu kheir
    Ahsantum kwa nasaha na ufafanuzi huu
  • @
    @redboy025منذ 2 سنوات Ko shekhe picha za kuchora ndio haramu
  • @
    @husnamohamed9448منذ 3 سنوات Twayeeb kisha kimtazamo uko sawa ila kuna watu kukuelewa hawatakuelewa mpaka kiama 1
  • @
    @binammwanafa2033منذ 3 سنوات Kuna dharura ktk dini lakin picha haram
  • @
    @hassanalbasq3160منذ 3 سنوات Kama picha x haram mbna ukisoma ruqya munaondoa mahal unaposoma????? Usiondoe bas uone kama Malaika wataingia Muhimu elimu 2
  • @
    @ibnahmad607منذ 5 سنوات Kuna hadith ya Mtume(swallallah aleyh wassallam) inasema"Halali ipo wazi na haramu ipo wazi, na baina ya hayo kuna mambo yenye kutatiza" id="hidden1" class="buttons"> />Hivyo upigaji picha ni miongoni mwa mambo yenye utata, hivyo ni vizuri kujiepusha nayo mana utakuwa unazama katika baatil. ....وسعت 1