المدة الزمنية 11:10

Daraja la Kigamboni lililojengwa juu ya bahari DSM

بواسطة Millard Ayo
168 518 مشاهدة
0
367
تم نشره في 2016/01/16

Ni Daraja ambalo kila anaeijua Dar es salaam alikua akitamani likamilike, na kila ambaye amekua akitumia Pantoni alitamani kuona itakuaje baada ya daraja hilo kuanza kutumika.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 45
  • @
    @rosenamilia4140منذ 8 سنوات Ndugu zangu mambo mazuri hayataki haraka.Ujenzi wa daraja sio sawa na ujenzi wa nyumba. Ukizingatia daraja limepita baharini ambapo kina kimetofautiana.Hata id="hidden2" class="buttons"> nchi zilizoendelea kama ULAYA/MAREKANI na ASIA utaratibu wa ujenzi wa daraja kubwa ndivyo ulivyo. Kwa upande wa kuchaji ushuru wa magari ni MUHIMU SANAA kwa daraja kubwa kama hilo. Hata ULAYA wanafanya hivyo hivyo. Ila wavuka kwa miguu hulipi chochote.
    BIG UP. MILARD AYO kwa kazi yako nzuri kila saa na siku. Uko juu sana Mtu wangu wa nguvu. Hata umewapita wenye magazeti. KEEP GOING.MEN. !!
    ....وسعت 1
  • @
    @nasraeidrayul4383منذ 8 سنوات kwa kipindi hichi naipenda sana nchi yangu mungu azidi kubariki insha allah maendeleao yawepo mengi na mengii maana tumechekwa sana kipind cha nyuma 3
  • @
    @ilovejesus9303منذ 8 سنوات Ooh asante Millard Ayo nimeliona jmn,napamiss bongo 2
  • @
    @xkingx8041منذ 8 سنوات Asante saaaana millard, ubarikiwe saana
  • @
    @sultanmm7722منذ 7 سنوات asanteni sana kwakutupatia taalifa nzuri
  • @
    @ashamohammedashamohammed7401منذ 8 سنوات safi sana Millard ayo natamani niludi TZ nienjoy uzuri hapo kwa daraja
  • @
    @francissilva9198منذ 8 سنوات Hii ni sehemu kubwa ya maendeleo Tanzania na ni daraja litakalozidisha maendeleo hayo. Hapa kazi tuu.
  • @
    @catherinemangesho8641منذ 8 سنوات Asante milayo kwa kzi nzuri nimeimis bongo
  • @
    @marlyncamdenمنذ 8 سنوات Great video. The audio would've been better with a camera windscreen over the mike which cancels the wind noise.
  • @
    @erickjastin9685منذ 8 سنوات ss hilo la kilometer 1 nikama hivyo Na Zanzibar silitasahaulika kabisaa
  • @
    @sombamrisho5541منذ 8 سنوات Mbona sarrender hawalipii waache watu wapite kwani daraja ni kiunganishi kama sehemu nyingine walivyojenga
  • @
    @princeado9511منذ 8 سنوات Itanibidi ninue.Daladala ianze kufanya kazi Dar to Znz nifanye kazi tuu hapa kazii tuu. nauli sijui niweke ngapi?
  • @
    @suleymanalfaqeer4572منذ 8 سنوات Daraja moja imechukuamiaka sijui hilo la dar to zanzibar itagarimu karne ngapi.
  • @
    @williamjames9751منذ 8 سنوات nasikia fununu kwamba kutakua na nakulipia kwa watumiaji wa daraja hilo haswa magali ni kweli hili jambo?
  • @
    @rosenamilia4140منذ 8 سنوات Ndugu zangu mambo mazuri hayataki haraka.Ujenzi wa daraja sio sawa na ujenzi wa nyumba. Ukizingatia daraja limepita baharini ambapo kina kimetofautiana.Hata id="hidden3" class="buttons"> nchi zilizoendelea kama ULAYA/MAREKANI na ASIA utaratibu wa ujenzi wa daraja kubwa ndivyo ulivyo. Kwa upande wa kuchaji ushuru wa magari ni MUHIMU SANAA kwa daraja kubwa kama hilo. Hata ULAYA wanafanya hivyo hivyo. Ila wavuka kwa miguu hulipi chochote.
    BIG UP. MILARD AYO kwa kazi yako nzuri kila saa na siku. Uko juu sana Mtu wangu wa nguvu. Hata umewapita wenye magazeti. KEEP GOING.MEN. !!
    ....وسعت 1