المدة الزمنية 1:39

CHUNGENI MIENENDO YENU, TUNATAKA TAMKO LA MALI NA MADENI SECRETARIET YA MAADILI MBEYA.

بواسطة Big Star Tv Online
145 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/06/22

Afisa mwandamizi kutoka Secretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Nyanda Za Juu Kusini Majid Mohamed amewataka viongozi wa umma kuchunga mienendo yao wakati wa kazi na hata baada ya kazi. Majid ameyasema hayo baada ya kumuongoza Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kiapo cha uadilifu hii leo. Katika Hatua nyingine Majid Amemtaka mkuu wa wilya ya Mbeya Dkt.Rashid Mohamed Chuachua Kuwasilisha tamko la Rasilimali na madeni ndani ya siku thelathini mara baada ya kiapo hii leo. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA BIG STAR TV ( +255 623 715536), ( +255 718 613054) ⚫️ Email: info@bigstarfm.co.tz ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ THE KICK NA ADVERA MABIKI : ⚫️ Subscribe Big Star TV

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 0