المدة الزمنية 16:24

MJENGO ANAOISHI GIGY MONEY MASAKI NI BALAA//MAKISS KWENYE BIRTHDAY YAKE HUNCHO MAHABA MOTO

بواسطة Carrymastory
144 364 مشاهدة
0
1.1 K
تم نشره في 2020/06/17

JANA GIGY MONEY Ametimiza umri wa miaka 23 na alisherekea sherehe yake yake ya kuzaliwa nyumbani kwake Masaki.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 559
  • @
    @mungamichael9354منذ 4 سنوات the first time from carry, big up young man, your english will be more better as i expect. 15
  • @
    @queenlinda255منذ 4 سنوات Miaka ishiri na tau maskini mdogo sana maisha tu Ndio yamemkuza Allah akupe itaji la moyo wako 13
  • @
    @winniewendy8390منذ 4 سنوات Am kenyan bt let's be realistic who doesn't love and like gigy money.,,gigy we love you ♥️♥️♥️and happy birthday 87
  • @
    @feadyonlinetv8035منذ 4 سنوات Kama UMESIKIA U know nying piga Like Hapa 44
  • @
    @iluminathaluvanga8608منذ 4 سنوات Ahahahaaa wasanii bwana miaka yao huwa haiendi mbele ni kurudi nyuma tuu siku ingine tutasikia anatimiza miaka kumi jamani 5
  • @
    @josephinejacques4171منذ 4 سنوات Dhuu huh! You know! You know mmpaka wapi?? But our journalist hamejitahidi kweli gonga like kwa swali zake alizo huliza kwa Husband wa gigy. 2
  • @
    @swiryjekalungi1090منذ 4 سنوات I love you Gigy we share the same birthday month this is lovely Happy womb escape ma Twin.. 4
  • @
    @juliaayieta2578منذ 4 سنوات Big up mtangazaji umefanya kazi nzuri sana 1
  • @
    @adammjomba1554منذ 4 سنوات Shida inakuja pale unapo sema miaka chini ya ulionayo watu watakukubalia usemavyo tatizo linakuja kwenye uso ,ndio utatoa majibu sahihi , uzee sio mzigo jitunze utabakia ,Na nguvu Na ukakamavu lakini sio kupunguza miaka 5
  • @
    @Dainess365منذ 4 سنوات He is a keeper
    She is crazy. So am I what a man
    2
  • @
    @carolinenyambura1318منذ 4 سنوات From Kenya happy birthday girl but the interviewer's English though 15
  • @
    @alisterlexter1115منذ 4 سنوات Jmni uyo huncho izo you know you know you know mafiiiiiii ya kuku love gigy 5
  • @
    @winfridangaruko7065منذ 4 سنوات The presenter’s english thoe.Sawa kingereza sio lugha yetu Ila tujitahidi na sisi tusichekwe 8
  • @
    @wamtaafrani9564منذ 4 سنوات kamaume sikia you no nyingi gonga like 26
  • @
    @rayyanjulliet4694منذ 4 سنوات This dude gat too much pride.not even sure of gigys yrswho bewitched some creatures,,,talk too much with no point.anyhus happy many more years gi id="hidden2" class="buttons">gy money,,,al be here next year same month..same date ,,diffrent year to witness if u still stuck on 23 ....وسعت
  • @
    @pericykiko6198منذ 4 سنوات Hamna kiingereza hapo Bora uongee kisambaa tu 6
  • @
    @josephmapunda7321منذ 4 سنوات Kumbe amepanga nkajua kajenga wasann maisha yao weng maisha yao yacopy life sijui kwann
  • @
    @ameeraaljassim4138منذ 4 سنوات Mbona hayo matusi mwayakatakata love u gigy from kenya 1
  • @
    @fettymkupasi5962منذ 4 سنوات Shemela anapiga ngeli hatariiii hbd gigiy money live long mimi nakupenda sana 1
  • @
    @corinahpaul3608منذ 4 سنوات Gigy jamn mungu akuzidishieeeee maisha memaaaa eeh
  • @
    @JayJay-rt9oxمنذ 4 سنوات Jamani mayra.mama kapendezq lakini mtoto waaah 1
  • @
    @allthingdranabeautyمنذ 4 سنوات izo nyumba renti ni millionna kitugigy usijisahau tu na mnageria kupanga million baada yakutafuta kiwanja unamtoto ujue 24
  • @
    @vaneorutaمنذ 4 سنوات Wueh watz na kizungu . Huyu mtu wa mic akuje tu kenya apate hata tense pekee 1
  • @
    @queenandchill91منذ 4 سنوات Mtangazaji : When was the day you met with gigy?
    Huncho: The first day i met with gigy is the first day i met with her like in movies
    Mtangazaji anajikakamua kweli na shemela nae anajitahid kujifanya Black American .Wahala everywhere .Hii kizungu sijawahi kuiona ....وسعت
    8
  • @
    @sarahogama9540منذ 4 سنوات Jamani tuliambiwa tukiona mnigeria yeyote tukimbie kma janga la corona yaani ina maana gigy haogopi hilo janga au sio 1
  • @
    @ms_caramel2688منذ 4 سنوات Aloskia was that a kiki 2Juane hahahha english sio poa 18
  • @
    @nairah6439منذ 4 سنوات Mmmh siamin kam akona 23 am 15 siamini 4
  • @
    @everlyneiminza5722منذ 4 سنوات Lakini wakue wakweli miaka zao, huyu anatudanganyia hizo miaka hapa bana, ata angesema 25/26 to 27 hivi tungekubali 6
  • @
    @AhmedSalah-ri3esمنذ 4 سنوات Mazarau nayo duuhh carry media imetukanwa na mtu mwenyewe umezidi mazarau giggy pesa ndio umezishika ukubwani ni taabu 7
  • @
    @dottosalum9896منذ 4 سنوات Mtangazaji anapata shida masikini ya mungu loooh
  • @
    @hanifaamani3363منذ 4 سنوات Du!he is as crazy as Gigy then they do have something in common !(life goes on!) 1
  • @
    @monicamonica4597منذ 4 سنوات Kucha sasa duuu ata kujigusa mwili wako unaogopa utaumia urembo huu ongera mwaya hbd mdogo wangu
  • @
    @jovinessleonard6518منذ 4 سنوات Mkaka mzur huyuu
    Picha zinamharbuu
    You know
    2
  • @
    @halmamudy1منذ 4 سنوات Gigy she’s real! Hana life lakufake! But anapenda kikigiggy ndo kiki 13
  • @
    @juliusmwinga4051منذ 4 سنوات Kizungu kwa Ndugu zetu watanzania ni noma.
    Sawa kaka mtangazaji.
  • @
    @254celebteachannel3منذ 4 سنوات Jamani mtoto wa watu kakazana na kingereza Nice work bro
  • @
    @esadkulovic6777منذ 4 سنوات No umekosea anafikisha miaka 3,asijali kma hataki kukua hata cc hatumkuzi,tutazidi kumshushia miaka ili azidi kufurahi. 12
  • @
    @zamdairadukunda9974منذ 4 سنوات Kwang it's okay hata awe na myaka 12 mm nik happy saana alikuw hapendi basi ajipe kamba
  • @
    @janethngowi1058منذ 4 سنوات Ni kweli ana miaka 23 hajawahi kudanganya miaka huyu sema sura imemshuka makaup sana na umalaya kauanza akiwa mdg 14
  • @
    @teacherdمنذ 4 سنوات JANA GIGY MONEY Ametimiza umri wa miaka 23 ☺️☺️ 3
  • @
    @ucjvvjcjjvih9934منذ 4 سنوات From tz Umeweza my sweet zidi kupambana miss MAHIRA
  • @
    @greenadriano9698منذ 4 سنوات Ila Kuna watu wabaya ,Wana sauti mbaya 1
  • @
    @fatmaali4921منذ 4 سنوات Nacheka km mzur jaman huyu si ndo alifukuzwaa jaman heeee noma gigi money kweli chiz kwa kweli kaniacha mdomo wazi 1
  • @
    @aminakshamoona6900منذ 4 سنوات Mama gigy n gigy were send u away mtangazaji kizungu ni kigumu baba is that a kiki 1
  • @
    @azizymachadeson3577منذ 4 سنوات Nyumba kubwa hiyo duh nadhani Corona imefungiwa store haina nafasi hapo fyade! Gigy umetisha madam nakuelewaga ivo kibishi
  • @
    @beatriceantapa5940منذ 4 سنوات Hatuna kazi yake clinic, kama amefikisha ni heri
  • @
    @zaudiakajeze8375منذ 4 سنوات Nimesabu U know mpka nimechoka..shemeraaaa bhn..niachee kidogo. 1
  • @
    @officialmrtop1018منذ 4 سنوات Hahahaah umejaribu lugha lakini watangazaji ingekuwa vizuri mkafanya tuition ili mjiboreshe zaidi mtazalilisha nchi daah
  • @
    @emanuellawrence4912منذ 4 سنوات I kirengesa yetu tz nimeipenda man ghai.!