المدة الزمنية 2:53

ILANI KUTEKELEZWA KURASA KWA KURASA - DKT. GWAJIMA

بواسطة Jamiitz Online
72 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/06/07

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza na waandishi wa habari  Jijini hapa leo, Dkt. Gwajima amesema kuwa kwa mujibu wa Sheria, Viongozi waliopo madarakani katika Baraza hilo muda wao ulikwisha tangu mwaka 2019. Dkt. Gwajima ameongeza kuwa Baraza hilo limeshindwa kufanya uchaguzi kwa kipindi chote pamoja na kuelekezwa na Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kufanya hivyo kwa muda mrefu. Amesisitiza kuwa Wizara haitavumilia tena watendaji na washirika ambao  wanatekeleza wajibu wao kwa kasi isiyoridhisha kwani wanaathiri utekelezaji wa majukumu ya Serikali.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0