المدة الزمنية 11:27

Jinsi ya kupika Butter Chicken rahisi sana

بواسطة jikonajane
2 366 مشاهدة
0
47
تم نشره في 2021/05/21

MAHITAJI ## MAHITAJI YA NYAMA 1/2 kilo minofu ya kuku Kijiko 1 cha chakula kitunguu saumu na tangawizi Kijiko 1 cha chai Olive Oil/ mafuta ya kupikia Kijiko 1 cha chakula chicken flavor Kijiko 1 cha chau binzari ya manjano 1/4 kijiko cha chai pilipili manga 1/2 ya limao dogo MAHITAJI YA ROSTI Vijiko 2 vya chakula Olive Oil/ mafuta ya kupikia Kijiko 1 cha chakula siagi Vitunguu 2 vya wastani Kijiko 1 cha chakula kitunguu saumu na tangawizi Nyanya 2 Kijiko 1-1/2 cha chakula nyanya ya kopo Kijiko 1 cha chai binzari ya pilau Kijiko 1 cha chai coriander powder Chumvi kwa kuonja 1/2 kikombe cream ya kupikia 1/2 kikombe tui la nazi Majani ya kotimiri/ giligilani kiasi chako

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 7