المدة الزمنية 6:31

ATAKAPOZIKWA MZINDAKAYA KESHO, MAANDALIZI YAMEFIKIA HAPA, MWENYEKITI WA CCM AZUNGUMZA

بواسطة Global TV Online
6 787 مشاهدة
0
17
تم نشره في 2021/06/09

ATAKAPOZIKWA MZINDAKAYA KESHO, MAANDALIZI YAMEFIKIA HAPA, MWENYEKITI WA CCM AZUNGUMZA... Kufuatia kifo cha Mwanasiasa mkongwe nchini, Dr. Chrisanti Mzindakaya Majiyatanga , aliyewahi kukaa katika uongozi kwa muda mrefu kwa Takribani miaka 40, rekodi ambayo haijavunjwa na mtu mwingine hapa Tanzania, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa mkoani RAINER FREDICK LUKALAH, ameeleza namna alivyomfahamu marehemu na maandalizi ya mazishi yalipofikia kuelekea kesho Juni 10, atakapopumzishwa kwenye nyumba yake ya milele. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 6