المدة الزمنية 6:47

KIKOSI BORA CHA ALLY KAMWE KATIKA RAUNDI MBILI ZA LIGI KUU TANZANIA BARA/BIG YES OR BIG NO

بواسطة Mpenja TV
82 068 مشاهدة
0
504
تم نشره في 2021/10/06

Kwa sasa ligi kuu Tanzania bara (TPL) baada ya kushuhudia raundi mbili imesimama kwa muda wa wiki mbili kupisha mechi za kuwania kufuzu Kombe la dunia 2022 nchini Qatar na Ligi ya Mabingwa Afrika. Tumezungumza na Mchambuzi hodari wa soka kutoka Azam TV, Mzee wa Mambo 10, Ally Shaban Kamwe kujua kikosi chake bora cha wachezaji 11 waliofanya vizuri kwenye raundi mbili za TPL. Msikilize hapa... #AllyKamwe #KikosiBoraRaundiMbiliTPL #TPL #MpenjaTV

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 55