المدة الزمنية 2:50

Takukuru akipatikana mbaya miongoni mwenu hampeleki mahakamani kumfunga mnalindanaRais Magufuli

بواسطة Focus News Tanzania
156 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2020/07/22

Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amesema kuwa licha ya kazi nzuri inayofanywa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini Tanzania bado kunya mianya ya rushwa ndani ya taasisi hiyo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0