المدة الزمنية 13:18

MAMBO 6 MUHIMU AMBAYO HUTAKIWI KUYASAHAU

28 927 مشاهدة
0
988
تم نشره في 2020/04/13

Mambo sita muhimu ambayo hutakiwi kuyasahau katika maisha yako. Mafanikio ya mwanadamu yamaejificha katika mambo kadhaa ambavyo kama mwanadamu akifuata vizuri kwa kuzingatia utaratibu kamili basi ni lazima atafanikiwa. Mara nyingi tabia au taratibu fulani muhimu kama ukizifuatilia vizuri basi ni lazima ufanikiwe. Katika somo hili tujifunze mambo sita tu muhimu ambayo kila mmoja wetu ni muhimu kujaribu kuyafanya katika maisha yake. Usisahau ku-subscribe, ku-like, ku-share na ku-comment hapo chini kwa kile ambacho utakuwa umejifunza leo hii. Pia tusisahau kuwa Corona ipo tuendelee na kujikinga kwa kufuata taratibu zote za afya kama tulivyoarifiwa na wataalam. #mambomuhimu #mafanikio #SuccessPath

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 116