المدة الزمنية 7:7

Katika Viumbe Vyote, Barabara 13 - Palikuwa na Mtu

بواسطة Jack Siro Tv
517 414 مشاهدة
0
2.3 K
تم نشره في 2012/11/13

Mbali na binadamu kuumbika vizuri, binadamu huyo anaweza kuwa na shida mbalimbali za kujaribu imani. Wimbo huu unamwangazia Ayubu katika Shida zake na jinsi alivyozichukulia. Tunafaa kuiga mfano wa Ayubu katika ukristo wetu sio eti tulalamike.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 249
  • @
    @madungavetagro69644 years ago Daaaah Barikiwa sanaaaa.... Nani yupo nami mwaka huu kuusikiliza ujumbe huu wa Mungu? gonga LIKE hapa na Mungu Atubariki Daima 36
  • @
    @mwagsbasket93704 years ago Who is here 2020 and loving it? Like pap! 59
  • @
    @michaeljoseph79546 years ago Hizi nyimbo za wapendwa wetu zinabariki sana nazikumbuka sana tangu 89 nina miaka kadhaa hakika Mungu ashukuriwe sana milele na milele (AMEN) 15
  • @
    @patricesekanyambo2844 years ago Honestly, I cannot understand how a normal person can despise this song and gives it a dislike. Some human beings are something else 15
  • @
    @arthurambura54002 years ago More than Golden voices Tanzania is blessed 😍 7
  • @
    @FruitsOfOurLabourone week ago 2024 listening when the holy spirit really inspired people to worship God
  • @
    @karangwafred38354 years ago Around 1997, I used to shade tears once I listened to this beautiful song.
    Nyimbo hu nazinginezo za Barabara 13, Ulyankuru Choir na Rose Muhando zimenifundisha shwahiri na piga guitar.
    Mungu awabarike sana🙏🙏🙏
    ...
    10
  • @
    @duncanmponda46453 months ago Ni nyimbo ambazo hazichoshi kuzisikiliza nazipenda saaana ,zina maudhui mazuri mno Mungu awabariki
  • @
    @jamesnkwabi18326 years ago value of this choir is more than diamond, value of the sound is more than Tanzanite, value of music is more than gold but all in all value of the Gospel is valuable more than anything. Is all about bible context I wish God could turn your ages as when you where young to restart praise again. Hallelujah ... 34
  • @
    @winniembula3928 months ago Napenda sana HUU ujumbe 🙏 Asante Yesu Kristo 🙏 1
  • @
    @consolatajoseph67665 years ago Jamani hivyo vinanda, mpangilio mzuri wa sauti, da!!! Sio kama kwaya za sasa, Kelele nyingi nyimbo hazina ujumbe ili, mradi tu biashara. Hakika cha kale in dhahabu. Mungu awabariki watumushi hawa. 4
  • @
    @nicksonjk84798 years ago my take ....ktk mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi wala kumuwazia Mungu kwa upumbavu. 18
  • @
    @labanakyoo41773 years ago Da,Mungu awabariki popote mlipo, hakuna kwaya siku hizi ni kurukaruka tu, ila nyie mnaimba vizuri sana 2
  • @
    @harunyusuf42294 years ago Japo nilikua Mtoto,niliupenda sana huu wimbo nyakati zile amen. 3
  • @
    @AgnessNjerilast month Nyimbo hizi ni mpya kila siku mbarikiwe sana waimbaji na MUNGU awabariki sana
  • @
    @patricksila86544 years ago This song reminds me those old days nikiwa class two 2002 tulikua tunaimba hiii choir 4
  • @
    @annmumbi23502 years ago A hit of the early 90s and still beautiful.. 3
  • @
    @happymshiko37255 years ago naupenda huuu wimbo huuu uishi milele daima 7
  • @
    @witnessmasanja90973 years ago Duh yaan nickiliza hzi nyimbo huw nakuw mpole gafla,,,mbalikiwe
  • @
    @ombenikamaganwa23224 years ago Mungu awabariki sana kwa ujumbe ambao umebadilisha walio wengi na kuwaleta kwa mwokozi Yesu. Naamini wamoja wenu hawapo tena duniani, ila Mungu ambae si mdhalimu azikumbuke kazi mulizo zifanya na awape kuingia katika raha ya milele pamoja na watakatifu wote. ... 2
  • @
    @athensbharat822411 months ago Early 2000s and I can still sing each and every word of this song...thank you mama,may your beautiful soul rest in hands of our father Lord❤ 2
  • @
    @zaituniomollolast year Napenda sana wimbo huu na mbarikiwe sana watumishi wa mungu
  • @
    @charlesmganga30866 years ago Tulikuwa tunakusanyika makanisa yote ya umpt enzi zile za kina mama ode wa nzega kweli zikuwa kwaya chini ya mch.lazaro sengati hapi Tazengwa nakumbuka mbari sana . 1
  • @
    @maryjustapeter54306 years ago Nyimbo kama hizi ninzuri zinabarki sana , kimavazi mmevaa vizuri sana siokama waimbaji waleo 17
  • @
    @tanzaniacarschannel69757 months ago the level of enthusiasm put in songs belong to this choir was on another level..
  • @
    @williamkirway46204 years ago Tumsifu mungu,mda wote tumtegemee yeye aijua kazi ,yake
  • @
    @thomjunior99476 years ago Hakika mnanikumbusha mbali sana dah..Mungu awabariki popote mlipo! 7
  • @
    @prudencemugarula32474 years ago Nyimbo za zamani lakini nzuri utadhani ni za jana.Wabarikiwe waimbaji hawa. 3
  • @
    @maryjustapeter54306 years ago Ooh. asante Kwa kutuwekea nyimbo hii jamani , waimbaji Mungu awabarki sana. 2
  • @
    @milcahlaizer57715 years ago Nyimbo zenye utukufu wa Mungu. Dah sauti zao😘 5
  • @
    @gabrielmashauri82368 months ago Mbarikiwe saana nyimbo hizi zimedumu ktk nyakati mbali na bado ni nzuri kwa sauti na maushui ya kiroho
  • @
    @monicapaul84805 years ago Safi sana ,wimbo mzuri usiochuja miaka yote,wabarikiwe sana waimbaji hawa 7
  • @
    @munyanezaevariste74757 months ago Nawapenda Sana waimbaji Hawa tangu zamani
  • @
    @georgematemba66428 years ago Hi kwaya ilikuwa inamwimbia Mungu kwelikweli na itaendelea kusimama kwa ujumbe siku zote 5
  • @
    @amanimilonde92194 years ago Asante sana ! Naifurahiya Sana hizo nyimbo za ULYANKULU KWAYA. 1
  • @
    @chebocheberio41123 years ago Reminding me redio ijili kijabe Sunday's after noon
  • @
    @nelsonzebedayo82814 years ago Ukisikiriza nyimbo za zaman ulikua unaskia umebarikiwa tofauti na nyimbo za sasahv.Nahiyo yote nikutokana na kuingiliwa kwa kanisa,Namkumbuke kwa sasa tuko nyakati gani 1
  • @
    @mariammnyaga35273 years ago Kiukwel tang nikiwa na miaka kumi nimekua nikiimba nyimbo zote za barabara13 tang miaka ya 1990 mpaka Sasa zinanikumbusha enzi bado mdogo,,,wote waliotangulia mbele za haki Mungu awasamee dhambi zao na awape zawad ya uzima wa milele maana kazi walizofanya wakiwa hai bado zinafanya kazin👏👏 ...
  • @
    @richardcastromzena51362 years ago Nilisikia nikiwa mdogo sana God is good
  • @
    @musandiege21113 years ago Nazikumbuka nyimbo zenu since 2000 MUNGU awabariki sana 1
  • @
    @denisnyaga9478 years ago since i was akid i was raised listening to this songs this days is when choir was choir 5
  • @
    @mwl.japhetmasatu41736 years ago waoooh kazi nzuri watu wa mungu awabariki saaaaana 1
  • @
    @mkuyu-ben.67468 years ago M'balikiwe kwa uinjilishaji kwa nyimbo nzuri. 3
  • @
    @josphatkioko5437 years ago it reminds me days of my childhood and the time i got to know about salvation .Be blessed brothers and sisters in Christ Jesus. 5
  • @
    @moussaika7449 years ago MUNGU awabari kwa kuturudishiya tena hizi nyimbo! Naomba mungelitiya album yote ya KWAVIUMBE VYOTE kama gisi ilivyo toka tangu zamani! 1
  • @
    @albertwoni1942 years ago Nyimbo zilizoongozwa na Roho mtakatifu
  • @
    @juliusomollo51788 years ago A very powerful message through this song. Thank you for blessing me. May God bless Choir teacher(s) together with the entire choir members. 7
  • @
    @liberatusulaya22694 years ago Mungu awabariki nyoote na Dunia yote kwa ujumla, mbarikiwe sana 1
  • @
    @ester7689last year wow jaman nyimbo zenye baraka na uwepo mkubwa wa mungu yani Kila unapozisikiliza unabarikiwa sana
  • @
    @mashakaally9784 years ago Mungu,,nipo,Tanzania,Tanga,Amboni,lunga,lunga,,Rod 1
  • @
    @omegamariki61763 years ago Majaribu yapo, Mungu tusaidie tushinde haya
  • @
    @bokemgaya77786 years ago Data mnanibariki sana .akina rose mhanda wajifunze kwenu .waache biashara ya nyimbo wamuimbie mungu
  • @
    @agnesfaidamuhima91042 years ago Asante sana ,nime barikiya sana na nyimbo zenu Mwenyezi Mungu awa Bariki piya
  • @
    @cutereyb.80309 years ago Nice songs... I used to have their tape longtime ago..... Be blessed! 6
  • @
    @virussella99795 years ago MUNGU awatie nguvu katika huduma ya uimbaji mnaimba vizuri sana 1
  • @
    @mbuguahenrynjuguna82969 years ago true believer and from deep in their hearts,they sung for the glory of Our God.wish we had them singing for us all day and night. 3
  • @
    @julianaferuzi73426 years ago Katika viumbe vyote vilivyoumbwa binadamu kaumbika kuliko vyote. Tumepewa masikio na macho yakuona na akili yakujua mema na mabayaa. 👌👌👏👏👏
  • @
    @marriemutish57234 years ago 2020 gonga like but hio intro joh refu 1
  • @
    @josephinemutheu59382 years ago I’m here 2022 , reminds me of my first video cassette in the early 90’s to watch ! Message … straight from job 1. Im being blessed! Watching from 🇺🇸
  • @
    @ChrisperMalamshacrispaseve4 years ago Mliifanya kazi ya Mungu vyema kabisa katika kipindi kigumu lakini kazi ni nzuri sana jina la bwana libarikiwe sana nanyi pia popote mlipo mbarikiwe sana ... Namkumbuka Severine na Veronika sababu baba alinunua album hizi na mama ali play wanae tuone Mungu anavyopaswa kuabudiwa/kuimbiwa. Mungu bariki Malamsha family, Amen. ...
  • @
    @VeronickaJanes3 months ago Vyote vitapita lakin neno alitapita ataipite miaka mingapi
  • @
    @topevents44003 years ago Watching December 31/2021... 11:48 PM.
  • @
    @alexismuhoza39218 months ago Nyimbo Ayubu alikuwa mtu wa Mungu, kweli pia na mwenye maombi Iko kwa Kandi ipi?
  • @
    @blessed54004 years ago Who is here 2020,I liked the song when I was growing up and still love it
  • @
    @monicahwanjira90385 years ago Mungu angali anawatafuta watakao mwabudu katika roho n.a. katika kweli
  • @
    @rebeccajelagat62319 years ago those days..it reminds me of my childhood.. 5
  • @
    @gregoirebasekakariyo820710 months ago Mimi ni nataka nijuwe kama wa imbaji hawa wangali hai, wapi ni naweza kuwaona? 1
  • @
    @danielmatheka55418 years ago I wish this generation of today may embark on God's message like it was when this album was composed 7
  • @
    @danadon67826 months ago Nilitoka uchi nitarudi tena huko uchi.
  • @
    @beatuskimarotypebackground64224 years ago Kwasasa niwachache tunao zitafuta kwaya kama hizi, kwaya za sasa hazina mafunzo kama hizi 1