Baada ya Headlines za Mh. Edward Lowassa Januray 09, kwenda Ikulu kuonana na Rais Magufuli na kupongeza baadhi ya mambo yanayofanywa na Serikali yake awamu ya tano, kuna mengi yamezungumzwa kwenye mitandao, Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma naye ameona kauli za baadhi ya watu kushtushwa na kitendo cha Edward Lowassa kumpongeza Rais Magufuli.
@raphaelpaschal7892منذ 6 سنواتMsukuma uko vizuri, mbona wakati wa utawala wa mheshimiwa Jakaya mbowe na wenzake walikuwa wanashinda Ikulu, leo Lowasa ana dhambi gani kwenda Ikulu? Waambie hao, hawana ubavu wa kumhoji Lowasa. 1
@
@rukiarashid8222منذ 6 سنواتHabari ndio hyo,ujumbe umeshautuma! Kazi kwao kukuelewa au kukubenza
@
@princesaintnewton4175منذ 6 سنواتAhsante baba bado mm njooni mnihoji nimalizie shuguli.
@
@sultanvdeo4996منذ 6 سنواتMsukuma upo vzuriiiiiii nakukubali sana wape vidonge kaka
@
@officialkamduduمنذ 6 سنواتUmeua ! tuone mwenye mbwa kama atang'atwa na mbwa wake . dadeki ! 22
@
@saleheinnocent7636منذ 6 سنواتUnaweza kutukana kila mmoja wetu isipokuwa makonda na boss. 3
@methodneka2791منذ 6 سنواتJamani kumbe chadema iliuzwa .na hao viongozi ni watumishi wake auuu???? 3
@
@allenmunuo9133منذ 6 سنواتkidampa hahaha msukuma you made my day 1
@
@khadijapazia4062منذ 6 سنواتKing nimetokea kukupenda Sana aisee hasa nikiona ile cm yako
@
@mercyemmanuel8536منذ 6 سنواتyap hadi raha ukweli ndiyo huo.ccm mbele kwa mbele. 2
@
@stewartmillanzi3918منذ 6 سنواتMmmh.nilikuwa sijakuelewa vizuri.kumbe unajichanya tu kwenye maelezo yako.
@
@amosdaudi9793منذ 6 سنواتHahahahahahaaa supar mzee baba umewapa ya jandoni.
@
@fadhilimgohamwelu1891منذ 6 سنواتMsukuma nimekuelewa sana na nimekukubali 26
@
@veronicazacharia2080منذ 6 سنواتww una akili kuliko mbowe kasome Qt kwanza 2
@
@damaswatanda3899منذ 6 سنواتbrother me huwa nakuelewa sana punguza ukali wa maneno mzee huko alipo kwenda pamemshinda
@
@saidwilson6529منذ 6 سنواتHili shoga kweli eti nalo linajiona linaongea point 5
@
@babary1690منذ 6 سنواتHuyu ni mzima kweli??? Elimu bure 4
@
@evalinnkumbi4139منذ 6 سنواتwe kibaka wa wapi tena?jamani?njaa zinawasumbua jamani.
@
@marcomasaka4773منذ 6 سنواتLowasa huo ndo ukomavu wa kisiasa. CCM ndiko ulikoanzia na Mr President anafanya kazi nzuri na anakaa na watu kupata ushauri nawe Lowasa umeliona hili na kukutana na rais. Big up Magufuli! !!!!!
@
@josephnchunga6554منذ 6 سنواتuko sawa mbunge wa Geita hilo ni genge la wahuni hata ukiwakabizi serikali hao wataipeleka inchi pabaya Sana hawafai kuongoza inchi
@
@shedynanda7393منذ 6 سنواتmwehu ww hunaakili maana umetumia muda mwingi lakin hueleweki duhh kweli ww nimsukuma kweli 2
@
@emmanuelnkinga2173منذ 6 سنواتAaaah.Mwenye Mbwaa hawezi ng'atwa na Mbwaa Wake
@
@hakianani2009منذ 6 سنواتUkweli unauma msukuma wape vidonge vyao Mimi mwenyewe chadema dam lakin kwa hili tupe vidonge vyetu tujirekebishe
@
@joshuaelihuruma2632منذ 6 سنواتHivi haka kajamaa kanavuta bhangi ya wapi?
@
@sky-wz5ziمنذ 6 سنواتHeee,msukuma kanichekesha jmn,!! mwanzo anasema lowasa arudi azikwe kwa heshima. gafla anasema hamtaki asirudi huko. halafu msukuma una pumzi sp class="buttons">eed 360 aiseee,!! hupumziki,? huhemi wala humezi mate hata kope hukapuiiii uuuwiiih,! nimecheka jmn ....وسعت2
@
@riscaoscar521منذ 6 سنواتMeza mate basi duuuuuuu jamani hyuy baba anaongea sana haaaaaaaaa haya safi
@
@jisephmaganiko3859منذ 6 سنواتKweli elimu inamsaindia mtu huyu jamaa mbona ata simuelewi Mara joo Mara hatukutaki duu geita jaribun kufumbua macho 7
@
@mwajumakweli6753منذ 6 سنواتHahahahaha huyu msukuma bhana mbona anachanganya mada mala oooh arudi tu mala ooh akae huko du. kweli huyu Msukumaa
@
@abdulkiswanya5104منذ 6 سنواتmsukuma sijakuelewa,mara njoo huku ndio nyumbani Mara kaa huko Na wahuni wenzako,Mara siwezi kuwa Na namba ya muhuni,duh basi tu nimechoka
@
@yassininabwera62منذ 6 سنواتHuyu ndie Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,anaitwa Joseph Msukuma(Nchi ihalalishe Bangi),hivi kweli seriously huyu ni mbunge anatuwakilisha id="hidden4" class="buttons"> Watanzania,kutunga sheria za nchi na pia kuisimamia Serikali ilete maendeleo ya nchi!Kweli jamani Watanzania,haya bwana. ....وسعت19
@
@eliajimmy5128منذ 6 سنواتSiku zote mwenye akili finyu hutukana badala ya kujenga hoja huwezi kuita chama upinzani ni genge la wahuni wakati vyama upinzani vinatambuliwa na katiba id="hidden5" class="buttons"> ya Tanzania .Nawasihi viongozi wa chadema wasijibizane na huyu punguani maana siajabu amevuta bangi maana huwa anaitetea sana bangi. ....وسعت6
@
@ayubudtktv2684منذ 6 سنواتdaaa kweli lowasa mkuu unaogopeka Mzee wa Monduli.,msukuma mwennyewe anasema nchi hii hakuna wa kumgusa lowasa,..
@
@lameckzacharia4489منذ 6 سنواتMsukuma sjawahi kuacha kufuatilia clip zako coz ww nishuja wasiasa unajua kuwajibu wapinzani wa Bongo.ha et tuone mbwa ana ng'ata mwenye mbwa,pole id="hidden6" class="buttons"> sana mbowe kwa siasa zako za kibiashara Leo hasara ya wapga kura imekukuta utajikomba sana cc ni ccm mbele kwa mbele,inawezekanaje nmpigia kura mtu anaye kila size hiyo siyo yake!! ....وسعت
@
@aloycemwakatala2634منذ 6 سنواتUnauza sura kwenye media kwaajili ya maneno mabovu namna hiyo? Na bado mwandishi wa habari anakusikiliza da ana roho ngumu.
@
@UlimeAمنذ 6 سنواتet genge la wahuni.. haya bana eti nyanya zimefyekwa na dc.
@
@eliasobah6298منذ 6 سنواتEleweka bhasi we mwanaume mara njoo mara hatukutaki, asa msimamo wako ni upi??? au hujui unachonena..
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Lowassa huku usije hatukutaki, ukija unapumzika Musukuma:
dadeki ! 22
Elimu bure 4
CCM ndiko ulikoanzia na Mr President anafanya kazi nzuri na anakaa na watu kupata ushauri nawe Lowasa umeliona hili na kukutana na rais.
Big up Magufuli! !!!!!