المدة الزمنية 5:34

Vijana Sumbawanga wapagawa kwa furaha baada ya kukutana ana kwa ana na wachezaji wa Simba

بواسطة Azam TV
51 642 مشاهدة
0
303
تم نشره في 2020/07/31

HUDUMA ZA KIJAMII: Tazama wachezaji wa Simba walivyofika katika viwanja vya Shule ya St. Maurus na kujumuika na wachezaji wa U17 wa vituo vya Zack Academy, Bangwe Sports Center na Shule ya Sekondari Mazwi kama sehemu ya huduma za kijamii. Ilikuwa ni mwendo wa kugonga gwala na kuselfika, vijana wakipata fursa ya bure ya kuonana ana kwa ana na kupokea ushauri kutoka kwa kaka zao. Hii ni safari ya kuelekea kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports, tarehe 2 Agosti, hapa Sumbawanga. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 53