المدة الزمنية 8:47

Polepole: Marekani mama ameenda kuonana na watu hatari waporaji wa mali za Afrika

بواسطة IBM CHANNEL
26 090 مشاهدة
0
323
تم نشره في 2021/09/26

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 151
  • @
    @jumanneissakwakala1881منذ 3 سنوات Hiki kipindi Ulichokianzisha Mh PolePole, Siyo Shule tuu. Ni Shule + Chuo Kikuu. Hongera sn Mhe PolePole. 48
  • @
    @kankukelly614منذ 3 سنوات Hongera comrade Pole Pole.huo ndio ukweli mtupu ambao tunatakiwa kujifunza sisi wafrika.badala ya porojo nyingi 12
  • @
    @jeanboscomunyarurembo3490منذ 3 سنوات Shule ya uongozi ni nzuri saana kwa vijana na waongozi wuko madarakani.Tunapungeza Mhe pole kwa kazi nzuri ya kizalendo. Naombe ugombee urais. Watanzania wanataka Mzalendo wa kweli kama Magufuli. 6
  • @
    @peterlot2050منذ 3 سنوات MH. Polepole, hili kipindi kinasaidia sana zaidi ya kipindi kilichopotea cha papo kwa hapo. Hili nacho ni chuo kikuu. Ubalikiwa na Mungu 5
  • @
    @rutindikarwoganyanja9436منذ 3 سنوات Mbone Baba Yetu Magufuli hakuenda kwa wale wizi 11
  • @
    @jumaally8994منذ 3 سنوات Safi sana mh polepole mzee wetu jpm amefanya mambo makubwa bila kwenda kuomba misaada ya ajabu 3
  • @
    @emamkuyu4061منذ 3 سنوات Asante sana, barikiwa sana kijana.Samahani,neno Magharibi unatamka Mangaribi,sisi tunakuamini,tunaonamba utamke MAGHARIBI. 2
  • @
    @davidkwisi8231منذ 3 سنوات Mimi naomba sana tusirudi kwenye kipindi cha awamu ya nne kuanza kuabudu nchi kubwa za magharibi. Hilo tatizo ni ugonjwa mkubwa sana. Hatuhitaji kushikwa id="hidden2" class="buttons"> masikio na nchi za magharibi, duh hivi kwanini wasimamizi wa serikali hawavijui. This is oblivious ....وسعت 14
  • @
    @humphreyngallawa5630منذ 3 سنوات Tupo pamoja wajinaaa,upo vizuri,Damu ya Yesu ikufunike,mishale yote iwarudie waooo 4
  • @
    @williamkavavila608منذ 3 سنوات Ooh, Comrade polepole, ..Mungu wetu akupiganie maisha marefu yenye afya. ..kwani una maono yenye NGUVU ya Roho wa BWANA. ..Amen!
  • @
    @kuntakinte7339منذ 3 سنوات Wewe ni mwanafunzi mtiifu uliefuzu kuchota akili pendwa na akili sana, kutoka kwa mh,HAYATI MWL,WAWAJINGA,NA WAELEVU. Hongera sana Mungu akulipe hustahilicho. 4
  • @
    @jaredyndaga4617منذ 3 سنوات Polepole yupo vizuri sana aendelee tu kufundisha huyu ndo mzalendo haswa 24
  • @
    @ustadhabdulkariimpuma8953منذ 3 سنوات Namuona Mfalme ndani yako. Mungu akusimamie. 1
  • @
    @sharifatutu2158منذ 3 سنوات Hawa ndiyo watu muhim waliyobaki aliwaacha magufuli 18
  • @
    @amosedward4326منذ 3 سنوات Maneno makini sana kiongozi endelea kuamusha watu fikira 3
  • @
    @ashuramhando5285منذ 3 سنوات Mama yeye kasema ameenda kurudisha mahusiano na wazungu mahusiano yaliyopotea uongozi wa Baba Mungu amsimamie huyu Mama asiendelee kuchotwa akili na wazungu 3
  • @
    @asifiwevincent2733منذ 3 سنوات Ume sema kweli; hakuna mazuri toka kwa inje 1
  • @
    @alphonceelias2551منذ 3 سنوات Mabeberu ukiona wanakupongeza na kukuletea msaada uwe makini sana na Hawa watu.mzungu yeyote ni mnafiki tu. 3
  • @
    @gynae8407منذ 3 سنوات Polepole unanikasirisha unapomtaja huyo mtali sipendi hata kusikia kabisa. Naomba jina moja tu. Litajwe la Uncle Magu 1
  • @
    @cosmasdaud9088منذ 3 سنوات Polepole upo vizuri Sana kiukweli dunia ndio IPO hivyo inacheza na akili 2
  • @
    @deogratiasmathias7959منذ 3 سنوات Jamani tunakoelekea ni pabaya sanaaaaa.Endelea kurupatia Elimu polepole 2
  • @
    @sagudamatalu9632منذ 3 سنوات Mungu akubariki, watanzania tunahitaji kujitegemea, hao viongozi Mazombi hawana Mungu
  • @
    @bahatebahate5427منذ 3 سنوات Upo vizuri sana .lakini nashindwa kuelewa hawa viongozi wanao g'ag'ana na nchi za magharibi akiri zao hazina akiri. 3
  • @
    @henrymhema3101منذ 3 سنوات Ubarikiwe Mtumishi maana Tanzania inaupungufu mkubwa sana wa Watu Kama polepole anayeweza kusimama bila kuogopa akasema kweli yote bila kuogopa
  • @
    @burundibwizacetribea995منذ 3 سنوات Mimi napenda vijana wanao na Oganic akili kama wewe, na wanavyotumia akili zao kufikilia mema kwa Africa.
    By the way, Ebola ilitengenezwa ili wauwe id="hidden5" class="buttons"> wa Africa wote sio wakongomani tuu. Na Ebola ilivyo kataa kuwafanyia kazi ya kutuuwa haraka, wakahamia kutengeneza COVID_19, na hii ikishindwa, watatengeneza magonjwa mengine
    ....وسعت 19
  • @
    @yusuphsanga4429منذ 3 سنوات safii mweshimiwaa naisi wenye akili ya vyeti nao wapate kuelimika
  • @
    @allymwailogwa8364منذ 2 سنوات Kwa kweli hii shule ilikuwa muhimu sana kwa afrika sijajua kwa nini wslikufungia
  • @
    @saynabmohammed6263منذ 3 سنوات Huyo mama hawez kujiendesha
    Mwenyewe ataweza kukopa maden
    Nchi imali nyingi Tu
  • @
    @kamanda007منذ 3 سنوات Nakubaliana na swala la mbegu za kilimo, tuna research institution kama SUA, uyole etc zifanye kazi then tuzalishe za kwetu la sivyo tutakuwa watumwa 1
  • @
    @hajingangila1558منذ 3 سنوات Upo nyumbani kuelimisha family asiye kubali hapo ni wale fundisha wakuelewe. 6
  • @
    @emmanuelowiti8217منذ 3 سنوات Benk ya dunia ni Rothschild,mama usidanganye watu. 4
  • @
    @cytklمنذ 3 سنوات Mwafrika alirogwa na yesu mzungu anaamini yeye ni mtumwa 5
  • @
    @abuusahya6130منذ 3 سنوات Huyó mamá mm siitaki hata kusikia sauti yake
  • @
    @linusdavis9072منذ 3 سنوات Tunaomba ugombee uraisi kaka tukupe kura zote 1
  • @
    @petersilas4234منذ 3 سنوات Kwa hili la sukari Tuwe waangalifu kwani kuna uwezekano wa kupitishia Zanzibar. 1
  • @
    @mohamedimwinyi8777منذ 3 سنوات Kweli ni ujinga nakesho mbele ya mungu Watajibu na wataukumiwa
  • @
    @samuelmussa4809منذ 3 سنوات Hapo pa JPM na. mmh hapana sema JPM tu.
  • @
    @eliabuedward8755منذ 3 سنوات Tanzania ya sasa si kama ya zamani, tanzania ya sasa watu matumbo yao kwanza 1
  • @
    @micamathew2595منذ 3 سنوات Huyu maza bana mi simpendi coz tayari ni tegemezi.
  • @
    @raybirry3816منذ 3 سنوات SAMIA KUNJA HAWA SAMAKI WANGALI WABICHI, WANAKUPINGA SANA. 1
  • @
    @braystuskibassa3842منذ 3 سنوات Tumekwisha aisee hao utasikia kama unataka msaada kubali ushoga leo viongozi wetu tunawapigia magoti mbaka lini
  • @
    @papaahansmo1129منذ 3 سنوات WADAU WA KATIBA MPYA TUGONGE LIKE HAPA
  • @
    @misalabamisalaba5075منذ 3 سنوات Yaan kati ya nchi ambayo siipend kuliko zote USA kwa kweli binafsi nikiwa Rais ni zaid ya Kimjon Un 2
  • @
    @safinatourssafaris2519منذ 3 سنوات Huyu mama kashapoteza nchi, kwani angetulia tu hapa nchini, Kingetokea nini, kwa nini hatuliiiii
  • @
    @ramosfally2318منذ 3 سنوات jamaa anongea point ila musimpeleke kuzimu jamani angalau 2025.apewe kichewo kidogo.nexty nyerere na magufuli ndani yake
  • @
    @fidelisinnocent7516منذ 3 سنوات sio waonevu tu wahuni saana hawa jamaaaa wazungu basi tu
  • @
    @doricekajuna6185منذ 3 سنوات pole tunakuombea ,,,unatupa Elimu kama JPM,,,alivyo kuwa,tunakuombea sanaa
  • @
    @hamismfaume4925منذ 3 سنوات Polepole na rafiki zako hatuwataki habari zenu kutolewa madarakani tu hasira
  • @
    @bahatimohamedi720منذ 3 سنوات Wewe ndo pekee umeback mushika ufunguo wa magufuli
  • @
    @doctorzero-dj5xgمنذ 3 سنوات Kutokana na tunavo kutegemea bora ukae kimya! Tusije tukakupoteza 1
  • @
    @mussaelisha3733منذ 3 سنوات Polepole amerudi Kama ezi ya katiba Yuko POA Sasa ivi nakuamini ila ulipotea ezi ya jpm
  • @
    @mohdshebe5640منذ 3 سنوات Sasa darasa hili sisi wananchi wa kawaida lina tusaidiaje, maan hao wanaingia mikataba na hawo wanyonyaji akina nani na wewe ndio mtunga sheria jmni ?
  • @
    @josephjulio6112منذ 2 سنوات Mimi naomba Mungu Putin achinje mtu haraka
  • @
    @jonaspatrick2871منذ 3 سنوات Naona mama yupo na mkwepa kodi.kama Tony Blair anakwepa kodi kwao atatusaidiaje sisi kama sio yupo kwa maslahi yake.
  • @
    @raybirry3816منذ 3 سنوات ANACHOSEMA KINYUME NYUME NI KWAMBA SAMIA HAJUI ATENDALO.
  • @
    @lawcompsl7510منذ 3 سنوات Unaongea zaidi ya ukweli.haya ndoo yanaoendelea Africa tutaishi maskini.shinda ni kwamba, hatuna Raisi Africa anaye akili za kiasi unachokielezea.
  • @
    @jonaspatrick2871منذ 3 سنوات Ungetoka humo ccm ukaanzisha chama chako na wenzako tungewaunga mkono sanaa tu, JPM ameacha vijana mlioiva, ccm inawapull down.
  • @
    @unclesymonymwaki958منذ 3 سنوات Ila unapomtaja J P M usimtaje huyo mwingine
  • @
    @fakihdarusi4385منذ 3 سنوات SAWA LAKINI WEE JE? UMEFANYA NINI ILI TUSIWE TEGEMEZI? MANA KAMA PIA UNGEKUWA TZ UNAIPENDA SANA UNGEREJESHA WARIOBA KATIBA.
  • @
    @petersilas4234منذ 3 سنوات Benki ya dunia na IMF zimebadilishwa na Wachina. Ujio wa China imebadili uchumi wa dunia. Tujue jinsi ya kwenda na Hali mpya.
  • @
    @ulayazمنذ 3 سنوات acha upumbavu, unafiki na uchu wa madaraka ndio unaokusumbua
  • @
    @abuyunusmohamed6961منذ 3 سنوات polepole wakati wa magufuli ulikuwa mpole mpole.Sasa umekuwa msemaji mkuu wa chadema na kuwa mkali mkali. 1
  • @
    @robertbutahe2835منذ 3 سنوات Tatizo la "Polepole" nikuangalia mambo upande mmoja wa shilingi! Kusoma Chuo Kikuu ni kitu kimoja na kuelimika ni jambo jengine.
  • @
    @errydeo8865منذ 3 سنوات Tukitumia rasili mali zetu ipasavyo,we dont need them! JPM,alituonyesha how we can be self reliant! Samia hana VISION AT ALL..
  • @
    @raygamba174منذ 3 سنوات Mbona kwenye madini ni wao ndio wawekazaji, kipindi chote cha Magu mbona hukufungua mdomo? Tanzania raha saana ukitaka madaraka we anza kuanzisha harakati id="hidden8" class="buttons"> uchwara, fanya hivyo kwa Paul Kagame uone ndio maana Nchi yao inapiga maendeleo ....وسعت
  • @
    @engzuberir.akilenza1764منذ 3 سنوات Huyu jamaa kukosa cheo kunamtesa Sana. Na hataki kuamini kama jamaa hayupo tena duniani.
  • @
    @hamadsuleiman5177منذ 3 سنوات Problem la hii yuotube channel inapotosha watanzania kwa sababu huyu mtoa post hajawahi kumsema vizuri huyu mama hata mara 1 kazi yake ni kupotosha tu id="hidden9" class="buttons"> umma na kulee chuki kati ya watanzania.hemu anza kuandika mambo ya familia yako na aibu zake tuanze kuzisoma kwani unatuchosha sasa.alaaa ....وسعت
  • @
    @hemedjackson2261منذ 3 سنوات Ss hiz longolongo mjomb zot zimekuj baad ya kuvuliw uwenyekit wa fitna wa chama wkt ww ulikuw nd unojib masuala ya chama wkt ule kweli wanasias njaa wot