المدة الزمنية 5:8

MAAJABU: NYUMBA YA MWL NYERERE ALIYOISHI AKIFUNDISHA PUGU SEKONDARI

بواسطة Global TV Online
26 777 مشاهدة
0
78
تم نشره في 2019/10/09

MAAJAB: NYUMBA YA MWL NYERERE ALIYOISHI AKIFUNDISHA PUGU SEKONDARI Kuelekea Oktoba 14, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl Julius Nyerere, Global TV imefika mkoa wa Pwani nje kidogo ya jiji la Dar na kutembelea shule ya Pugu sekondari ambayo aliwahi kufundisha enzi za uhai wake, pamoja na kushuhudia nyumba aliyoishi akiwa mwalimu katika shule hiyo. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEWS: /playlist?list ...

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 8