المدة الزمنية 4:26

SIKU 100 ZA RAIS SAMIA: TPA yavunja Rekodi ya kusanya Bil/-236.8 Mkurugenzi mkuu Akieleza

بواسطة Daily News Digital
594 مشاهدة
0
8
تم نشره في 2021/06/28

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Eric Hamissi amesema kuwa katika kipindi cha siku 100 za uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia mamlaka hiyo imepokea barua za pongezi kutoka katika makampuni makubwa ya usafirishaji duniani ikiwemo ya Mediterrainian na Mesina Line kwa uboreshaji wa huduma bandarini hapo. Amesema kuwa katika kipindi cha robo ya mwisho kuanzia Aprili hadi Juni mwaka huu wameweza kukusanya shilingi bilioni 236.8 sawa na ongezeko la asilimia 14 ukilinganisha na robo iliyopita ya kuanzia Januari hadi Machi ambayo walikusanya shilingi bilioni 203. Naye, Kamishna wa Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala amesema kuwa kwa kushirikiana na idara ya kazi wameanza kutoa vibali kwa kutumia mfumo wa kielektroniki ambapo katika kipindi cha kuanzia Mei 2021 hadi sasa wametoa vibali 3,377 vya kazi ukilinganisha na vibali 2166 vilivyotolewa katika kipindi kama hiki kwa mwaka jana. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176 ... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig ... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid ... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 8