المدة الزمنية 17:41

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI ALIPOFANYA KIKAZO NA RAIS MWINYI, CHATO - GEITA

بواسطة Azam TV
11 760 مشاهدة
0
34
تم نشره في 2021/01/14

Rais Dkt. John Magufuli amekutana na kufanya kikao na Rais wa Zanzibara na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharrif Hamad ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita. Miongoni mwa yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho ni uimarishwaji wa muungano na ushirikiano kwenye masuala mbalimbali ya kimaendeleo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 12