المدة الزمنية 8:7

BIRTHDAY YA RUGE Yawaliza Upya NANDY, MAKAMBA, BARNABA | +255 GLOBAL RADIO

بواسطة Global TV Online
14 120 مشاهدة
0
49
تم نشره في 2019/05/01

BIRTHDAY YA RUGE Yawaliza Upya NANDY, MAKAMBA, BARNABA| +255 GLOBAL RADIO Leo Mei Mosi, 2019 ni Birthday ya Marehemu Ruge Mutahaba. Wasanii wengi wamepost hisia zao kwenye mitandao ya kijamii. bila kumsahau rafiki yake kipenzi mwanasiasa January Makamba ambaye naye amepost ujumbe mzito. +255 Global Radio, kupitia kipindi chake cha MWENDOKASI DRIVE, wamejadili hisia hizo za wasanii na wadau wengine... Tembelea pia Website ya Global Radio (https://globalradio.co.tz/) Kwa Habari na Matukio Mbalimbali ya Burudani kutoka kila kona ya Dunia Tufuatilie pia kwenye Mitandao ya Kijamii, Facebook, Instagram na Twitter Ili Kupata Updates za Matukio yote. Facebook : https://www.facebook.com/255-Global-Radio-2162789610482319/ Instagram : https://www.instagram.com/255globalradio/ Twitter : https://twitter.com/255globalradio Ili kupata LIVE matangazo ya #255GLOBALRADIO Kirahisi Zaidi, Pakua App : http://rebrand.ly/255GlobalRadioApp #TUMESHTUKA , #NAWESHTUKA

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 17