المدة الزمنية 1:37

KESI YA WEMA SEPETU: UPELELEZI UMEKAMILIKA, MAHAKAMA YAPANGA TAREHE

بواسطة Millard Ayo
2 314 مشاهدة
0
10
تم نشره في 2019/02/13

Upelelezi wa kesi ya kuchapisha picha za ngono katika mtandao wa Instagram inayomkabili msanii wa filamu, Wema Sepetu umekamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Kesi imeahirishwa hadi February 21, 2019 kwa ajili ya Wema kusomewa maelezo ya awali.

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 5