المدة الزمنية 4:3

Mdada aliyeacha taaluma yake na kujitosa ubunifu wa mavazi

بواسطة DW Kiswahili
343 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2021/07/09

Kwenye kuvaa na kupendeza kuna ajira ndani yake, huu ni msemo wa @mgece_cici_design aliyeamua kuachana na taaluma aliyoisomea na kuingia Katika ubunifu wa mavazi sababu tu alipenda kuonekana nadhifu na sasa ameajiri wengine. @miss_hadijahalifa anazungumza naye kujua vipi ilikuwa vigumu familia yake kumuunga mkono. #msichanajasiri

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0