المدة الزمنية 6:27

Rudisha Nguvu za Kiume bila Dawa

بواسطة Topten Tv
213 959 مشاهدة
0
2 K
تم نشره في 2020/12/05

.......................................................... Contact Us : +255676298270 ------------------------------------------------------------------------------- E-mail : toptenherbs@gmail.com ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/toptenherbs --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/toptentanzania --------------------------------------------------------------------------------- Website https://www.topten.co.tz -----------------------------------------------------------------------------------

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 162
  • @
    @khamisihussein8777منذ 2 سنوات Good bless you doctor I enjoyed the lesson 2
  • @
    @shebbytrante7025منذ 4 سنوات Adhante sana doctor mafundisho yako ni bora sana mungu atakulipa 10
  • @
    @ambindwilehosea6837العام الماضي Aise kaka Mkubwa Mungu akutunze sana maana unaelezea mpaka mtu anaelewa kupitiliza barikiwa sana
  • @
    @musamanyinyi2046منذ 2 سنوات Ahsante sana brother kwa mafundisho yako mazuli hakika nimejifunza kitu 2
  • @
    @wababyamungu2646منذ 2 سنوات Tunashukuru saaana kwa mafundisho Yako docteur Mungu akulipe nakukuzidishiya zahidi.
  • @
    @michaelmatondo6743منذ 2 سنوات Asantee san dkt mungu akubariki mutumishi 1
  • @
    @abdullahhashimu2380منذ 2 سنوات Hizo zote kaka ni sahihi kabbisa shukrani
  • @
    @yohanakayinga9279منذ 3 سنوات Doctor Mungu aendelee kukupa uwezo hakika umesaidia wengi 3
  • @
    @mimsbaibe6mimsgul737منذ 3 سنوات Thanks for caring n sharing vipi hapo kwa mapenzi kama yuko Bali n hawezi pata mapenzi. 1
  • @
    @Eldoret94منذ 3 سنوات Nmependa maneno yako sanaaa problem nko kenya 1
  • @
    @lilyan3101منذ 4 سنوات Thanks doctor for your classroom, I'll visit you soon as possible,may god protect you and blesse you 4
  • @
    @hosianamwaikenda6248منذ 3 سنوات Practice makes perfect" nakubali mzee 3
  • @
    @dismasminja9702منذ 3 سنوات Nakupenda sana doct najifunza mengi kupitia wewe nipo moshi 2
  • @
    @momanyicharles7990منذ 3 سنوات Asante kwa ushsuri mzuri na Tafadhali saidia dawa ya magonjwa ya STD and infections
  • @
    @kwaleboy6064منذ 3 سنوات Wallahy broo your right.haswa hiyo ya mwisho 1
  • @
    @isakaibrahim2112منذ 2 سنوات nafrahi sana kuendelea kujifunza mambo mengi kupitia topten tv
  • @
    @yudahwa-ta-seti6075منذ 4 سنوات CHAKULA CHAKULA. Traditional African diets. No mzungu foods like sodas ,salt, nk. 5
  • @
    @abdulijumaa496منذ 4 سنوات Mungu akubariki na kukulinda unajua. Kufundisha 4
  • @
    @kadiriosmamمنذ 4 سنوات Hallo ndugu na shida yaku fika kilele haraka inatiba?. 3
  • @
    @felixkato6283منذ 2 سنوات Ah Santee Sana kaka,Mm natatizo la kupiga shoo Dakika tano Nshamaliza jamn ndo tatizo gan hilo Na hii sio kawaidaanguuu
  • @
    @theosaimon6933منذ 3 سنوات Hilo tendo la ndoa wengine tuna miaka 2 Sasa bro UGAIBUNI huku tunateseka sana 7
  • @
    @nsanzumuhirechaffy1432منذ 4 سنوات Shukran sana dr mafundisho yako ni muhimu sana sisi Rwanda namna gani tunaweza lipa kitabu. 5
  • @
    @donaldjulius1783منذ 4 سنوات Asante doctor napenda sana mafundisho yako 5
  • @
    @hijjaathuman1790منذ 2 سنوات Asante sana kaka, zoez hil lifanyke kwa mud gan?
  • @
    @sugarmillard1900منذ 3 سنوات Thank you My Brother maan hilo tatizo Nilikuw nalizawazia saan 1
  • @
    @mpinaskid9316منذ 2 سنوات Nahitaj namba ako mkuu Kwa maongez zaid 2
  • @
    @josephnicodemo246منذ 3 سنوات Na kwa wale hamu inaisha yakufany mapenz inakuaj apoo 1
  • @
    @elishangomele9937منذ 3 سنوات Mimi nimefanya sana haya yote lakini nimeshindwa kupona uume wangu umekuwa legelege na sikuwa hivyo kabisa
  • @
    @nuhuramadhan5779منذ 2 سنوات Dr me shida yangu naenda laund 1 Kam dk 5 ty lkn nkirudi laund ya pili naweza kkaa kweny tendo ata Masa mawili bira kufka kilelen Tena je hiv kunatatzo hapo ? Dr
  • @
    @franciskibisu3343منذ 2 سنوات Nisaidie kujua ngiri ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini
  • @
    @lunahaji9928منذ 4 سنوات Dokta dawa yaMTU aliyoasilika na punyeto iyo daw inapatikana kwa bei gan 6
  • @
    @swaphiatysaid5332منذ 2 سنوات Tusaidie dawa ya kuimarisha misuli ya shingo kwa mtoto asiyeiweza shingo yake vzr tafadhal
  • @
    @anordlaurent8751منذ 3 سنوات Hiyo ya kushiriki mara kwa mara kwangu changamoto coz nimeokoka mm. 1
  • @
    @abongaebuka798منذ 3 سنوات Naitaji iki kitabu tafadhali,Niko kongo
  • @
    @saulmwakyusa1001منذ 4 سنوات Nimekuelewa doctor lkn kufanya Mara kwa mara c utakua umalaya ? Au kwa mkeo tu mara kwa mara? Ahsante kwa mafundisho mazuri 4
  • @
    @kurugoaliy5223منذ 4 سنوات Na ndio maana mababu zetu walikuwa hawavai nguo za kubana hatimae wakawa wana nguvu kupita maelezo 100% nakukubali. 7
  • @
    @bizichachachartiel8240منذ 4 سنوات Wengine wanasema ukinywa maji ukimariza Kura nivibaya saasa jioni itakuaje ukinywa maji 3
  • @
    @shakiraally6380منذ 4 سنوات Mume wangu hataakishiriki hazitok kabisa spum 5