المدة الزمنية 5300

*UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 2020-2025 KWENYE ELIMU.*

88 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2021/05/27

*UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 2020-2025 KWENYE ELIMU.* Ilani ya CCM kwenye sura ya 3 kipengele cha 80 (b) inaelekeza Mpango wa Serikali itakayoundwa na CCM "kuhakikisha kuwa kila shule ya msingi inatoa elimu ya awali kwa ufanisi katika mazingira na miundombinu iliyoboreshwa." Katika kutekeleza mpango huo wa Ilani, Waziri Mkuu wa Tanzania Ijumaa ya wiki iliyopita Mei 21, 2021 amekabidhi jumla ya magari 184 kwa maafisa elimu wa Halmashauri ikiwa ni kutekeleza Ilani ya CCM kuendelea kuboresha sekta ya elimu nchini.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0