المدة الزمنية 3:49

Ubuyu wa Zanzibar

3 937 مشاهدة
0
22
تم نشره في 2021/03/01

Karibu katika Channel. Leo tunajifunza namna ya kupika ubuyu bora wa Zanzibar. Lakini pia unaweza kujipatia mafunzo ya bidhaa mbali mbali. Tunatoa mafunzo kwa njia ya what'sapp na namba zetu za kujiunga ni 0773318517 pia kujiunga katika darasa letu ni Tsh. 3000 UJASIRIAMALI NYUMBANI unawezekana. Mwl. Moh'd Abdulla Ali

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4