المدة الزمنية 11:20

Da-waa ndani ya County ya Nairobi katika mtaa wa isilii

28 281 مشاهدة
0
321
تم نشره في 2018/02/03

Da-waa na ustadh yusuf wambugu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 51
  • @
    @noahwamalwa4385منذ 4 سنوات JOHN 4:24 "God is spirit, and his worshipers must worship in the Spirit and in truth.”
  • @
    @maryammagenyo5087العام الماضي Mungu akulinde shekh Yusuf akurejee afya njema kama ulivio kuwa hapa Ameen 2
  • @
    @ambbabu4122منذ 2 سنوات Mashaa Allah.bado tunakumbuka
    Mashaa Allah.. ALLAH akujalie afya njema
    1
  • @
    @Estherm309منذ 3 سنوات Yesu alijaribiwa sembuse wewe mwanadamu 1
  • @
    @Estherm309منذ 3 سنوات Amen mama mungu akujalie neema kubwa kama hiyo 1
  • @
    @alimaalima6016منذ 6 سنوات Mashallah. .na huyu mama nae nimshindani namuombea Mungu amuongoze aijue haki naaweze kuifuata 5
  • @
    @jamilaomari2444منذ 2 سنوات MashaAllah,, hii ilinipita,, 3yrs ago! 1
  • @
    @BURHANDAWAHMANمنذ 6 سنوات Mama kanini bado haja islimu from 2007 until now..SubhanAllah. 5
  • @
    @hamisikulola8481منذ 6 سنوات Quran 5:72
    walishakwisha kufuru wale wanaosema Allah ni Issa bin Mariam
    5
  • @
    @mutomubayaمنذ 2 سنوات Shukrani Mwalimu Yusuf kwa kumuelimisha dada yetu. Allah amuongoze aelewe kwamba Allah ndiye Mungu peke yake, na hana mshirika. Asipoelewa wataelewa wengine wengi tu ambao wanasikiza hapa, in sha Allah. 1
  • @
    @ramazecha2877منذ 3 سنوات Mashalah mashekh wetu mungu awape nguvu 1
  • @
    @kibibimwanamvuamohammadmoh9823منذ 6 سنوات Allah amzindue mama hyu na wengine woote ili waiyone haki na kuifuata . Aamiyn
    Wachungaji wao ndio wanawowapoteza
    1
  • @
    @njaginjeru7131منذ 5 سنوات wambugu explain tawheed in islamic religion.. 1
  • @
    @shailglobal2296منذ 2 سنوات Mbona umekonda video zako mpya lakin hii ulikuwa mnene
  • @
    @magnust.camingsoon9669منذ 5 سنوات Du, ningekuwepo hapo ningewabatiza walimu wote maana mnaingia kwenye mitego bila kujua Huyo Mama ni Christian lakini hayuko na Elimu ya hoja lakini bado anawapeleka peleka.