المدة الزمنية 1:18:59

THAMANI YA MWANAMKE NO2 - SHEIKH OTHMAN MICHAEL

23 452 مشاهدة
0
180
تم نشره في 2019/08/05

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 53
  • @
    @afric01منذ 3 سنوات Aslm alkm wtw. Sheikh Othman, Allah Akupe furaha Kama unavyo tufrahisha sisi. Ama hakika ndoa za leo ni ndoana na zitabaki kua ndoana hakuna mawadata id="hidden2" class="buttons"> wa rahman ndani yake. Kumpa mumeo majina mabaya huzusan jina linalo tokamana na maradhi ni kukosa adabu na heshma. Mumeo ni mumeo, wala hakuna kovu ya mke na mme sikwamba ninawasifu laa. Binafsi nimepitua mengi, na kuwaskia wenzangu kuhusu wanaume wa baya. Allah akulipe mema Sheikh wetu kwa kujaribu kutuweka sawa. Wanaume wa leo hawaelewki hataaaaa. Allah ataleta nusra. Jazakallahu kheir.Twakupenda Sana Sheikh wetu. ....وسعت
  • @
    @sudyhamdun7041منذ 4 سنوات Shekh Nakupend kwaa Ajili Ya Allah Asant kwa kutukumbusha" honger sn 1
  • @
    @halimakalinga7764منذ 4 سنوات MashaaAllah jazzak la kheri Allah azid kukulinda uzid kutufunza
  • @
    @saeedsaeed7381منذ 5 سنوات Masha Allah Masha Allah sheikh Othman mawaidha mazuri unatufunza mapema mengi mema..mungu akupe afya, furaha,Amman and emaan Ameen yarab 5
  • @
    @bellbell9294منذ 3 سنوات Maashaallah shukraan Sana sheikh wetu Allah akulipe kher
  • @
    @sadaali8665منذ 5 سنوات Shekh odhman masha Allh mpaka naona raha kukusikilza 1
  • @
    @zayyatiyussuf9566منذ 5 سنوات Mashaallah Allah akuzidishie ilimu sheikh 4
  • @
    @muhammadahmedaliyyu3854منذ 5 سنوات Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh 2
  • @
    @zainabmaulidi9846منذ 4 سنوات Shukrani sana kwa mawaidh manzuri sheikh othman Allah akuzidishie umri mref wenye kheri insha Allah
  • @
    @radhiamussa1629منذ 5 سنوات Ma shaa Allah aturuzuku waume wema wenye kuwafanyia hisani wajane pia kuwaongoza vizuri
  • @
    @jamuasmail193منذ 4 سنوات mashaallah sheikh wetu mungu akupe kheiri
  • @
    @aminamohamed9955منذ 4 سنوات Subhana Allah eti kaniacha ivi asante Kwa kutuongoa nimejifunza mambo mengi Sana
  • @
    @laylisaid9563منذ 5 سنوات mashaallah shukuru jazaka allah heli ya Rabbi akuzidishi mulimlafu na akupe afiya njema
  • @
    @aminamohamed9955منذ 4 سنوات Subhana Allah asante Kwa mawaiza mazur.
  • @
    @rahmasalamalaykum7668منذ 5 سنوات Mashaallah shekhe mungu akuzidishie umri
  • @
    @issaramadhani9714منذ 5 سنوات Fawaiyda za kheyri na ilmu ktk mahusiano ya maisha ya ndoa tumepata fawaiyda kubwa sana ALLAH Mtukufu azidi kukunjulia heri juu ya heri ktk maisha yako id="hidden3" class="buttons"> na baraka nyingi ALLAH atukubali na aturidhie na tunamuomba ALLAH awajalie wanawake wajitambue thamani yao na washikamane na mwongozo wa wanawake wema waliopita. ....وسعت 2
  • @
    @aishaaisha9094منذ 5 سنوات Duh kwakweli tutapona kweli kwahizo aina za tabia
  • @
    @bimumaulid1171منذ 5 سنوات Tumekupata inshaalah tuyafatishe lkn kidogo simu nyingi 1
  • @
    @yusuphmruma1771منذ 4 سنوات mwenyezimungu anijaliye aniingize peponi na ww shehe nawaisilamu wote ila shehe umenichrkesha niutani au nikitu kimetokea kweli kisa sukari mwanamke amuite mumeo kishuga
  • @
    @nasraalismailiy5188منذ 5 سنوات mashaAllah nimependa mawaidha sana samahan lkn sheikh naomba no yako please ninasuali muhim sana na linaniumiza nataka nikulize
  • @
    @sarahmohamed337منذ 5 سنوات Shukran Sheikh kwa Darsa lako zuri.ila nipo na tatizo ambalo siwezi kulielezea.Naomba no. Yako ya wats ap kwa hisaniyako.
  • @
    @karistkanuti2747منذ 5 سنوات Natafuta mke Wa kuoa Wa kiislam,nna miaka 26, mwanamke awe na umri chin y miaka 23,npo Kigoma kasulu,0718771870
  • @
    @kajoakother6041منذ 4 سنوات kwamaiza natafuta muchumba mahariyangu a isomee juzuu sita akimariza ananiowa nipo boswana
  • @
    @afric01منذ 3 سنوات Aslm alkm wtw. Sheikh Othman, Allah Akupe furaha Kama unavyo tufrahisha sisi. Ama hakika ndoa za leo ni ndoana na zitabaki kua ndoana hakuna mawadata id="hidden5" class="buttons"> wa rahman ndani yake. Kumpa mumeo majina mabaya huzusan jina linalo tokamana na maradhi ni kukosa adabu na heshma. Mumeo ni mumeo, wala hakuna kovu ya mke na mme sikwamba ninawasifu laa. Binafsi nimepitua mengi, na kuwaskia wenzangu kuhusu wanaume wa baya. Allah akulipe mema Sheikh wetu kwa kujaribu kutuweka sawa. Wanaume wa leo hawaelewki hataaaaa. Allah ataleta nusra. Jazakallahu kheir.Twakupenda Sana Sheikh wetu. ....وسعت
  • @
    @issaramadhani9714منذ 5 سنوات Fawaiyda za kheyri na ilmu ktk mahusiano ya maisha ya ndoa tumepata fawaiyda kubwa sana ALLAH Mtukufu azidi kukunjulia heri juu ya heri ktk maisha yako id="hidden6" class="buttons"> na baraka nyingi ALLAH atukubali na aturidhie na tunamuomba ALLAH awajalie wanawake wajitambue thamani yao na washikamane na mwongozo wa wanawake wema waliopita. ....وسعت 2