المدة الزمنية 1:27

Italia kuomboleza kifo cha Kobe Bryant kwa wiki nzima, ndiko alikokulia

بواسطة Simulizi Na Sauti
2 055 مشاهدة
0
71
تم نشره في 2020/01/28

Italia, ambako Kobe Bryant alikulia, wataomboleza kifo chake kwa wiki nzima. Kila timu ya kikapu nchini humo itatoa heshima zake kwa Kobe kwa kukaa kimya kwa dakika moja katika kila mchezo kwa kipindi cha wiki nzima, shirikisho la mchezo huo nchini Italia limesema.

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 9